Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Heshma yenu wakuu,
nina tatzo katika simu yangu ya android nashndwa kudownload application yeyope kutoka kwenye playstore inaniambia 'could not be downloaded due to an error'
Kwa yeyote ambae anajua suluhsho la tatzo hl naomba msaada wake,natangukiza shukrani
Cc: njunwa wamavoko chief-mkwawa

Last edited by a moderator: