siwezi fanya kazi gizani

siwezi fanya kazi gizani

guccio

Senior Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
137
Reaction score
22
kulikuwa na wafanyakazi wawili kwenye ofisi moja,mwanamke na mwanaume,mazungumzo yao yalikuwa hivi...
Mwanamke:ivi unajua me naweza kumfanya bosi anipe likizo hivi hivi.
Mwanaume:aah wapi hauwezi wewe,utafanyaje..
Mwanamke:haya subili uone(gafla yule mwanamke akaning'inia kwenye ceilingboard) bosi alivyoingia akamuuliza mbona amening'ia kulikoni..yule mdada akasema.
Mwanamke:bosi me ndo light bulb...bosi kuona vile akamwambia kwakuwa umekuwa ukifanya kazi sana mpaka zmefyatuka kchwani nakupa likizo ukapumzike,wakati yule dada anaondoka na yule mwanaume naye akawa anaondoka,bosi alipomuuliza y anaondoka,jamaa akasema SIWEZI KUFANYA KAZI GIZANI ndo maana naondoka.
 
jamaa ana mwanamke anamkamilishia kila kitu lakini demu ni kicheche, wakaparurana demu akasepa demu wa pili ndio vile vile, jamaa alikuwa mtu wa dini akaona bora aende kanisani kuulizia kwa padri wanawake wana matatizo gani hata hawawezi kustahamili padri alijibu ingelikuwa najuwa matatizo ya wanawake kuyatatua basi nisingelikuwa padri
 
Back
Top Bottom