Siwaelewi wanaume wa karne hii

Ukitaka mwanaume akupe pesa hakikisha kwanza we demu mzuri unakuta demu sura ya baba anataka ma handsome hapo ndipo kasheshe linapoanza..

Nimechunguza sana mademu wengi wanaolea wanaume wana sura za baba shepu mbovu wengi wao ndio wanakua wamejitongozesha

SAMAHANI
 
Maamuzi ya kuingia kwenye ndoa navojua hayafosiwi na mtu kujitongozesha.....mtu anaoa akiangalia future life yake na watoto wake mambo ya shape waachie wanunuzi na wauzaji
 
Sasa uoni kama wewe ndiyo huna akili. Utamuitaje kijana ambaye bado anaishi na wazazi wake husband material. Kwan husband material mpaka akupe laki tatu?

Najua mwanake anatunzwa na kupewa mahitaji yote anapokuwa chini ya mume wake na si kwa wazazi wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kama ulivyotaja vijana wa zamani,wewe ni wa zamani kwan vijana wa zamani uliwajulia wapi?waache vijana wa sas kwan umri wako ushapita hawakuhusu
 
Inaonekana una vielementi vya umalaya au una matatizo ya akili.

Huyo kijana anaeishi kwao/hana kazi haina maana kuwa apambani kujikomboa (japo wapo walioridhika na hiyo hali)
Alaf date na mtu unaeona anakidhi vigezo vyako sio utoke na mtu kwakuwa amekutongoza tu. Hiv had unamuomba 300k ulikuwa umeangalia hali yake ya kiuchumi ama ndio kujifedhehesha?

Alaf mwisho kumbuka kuna tofauti kati ya husband material na muongaji kwenye utoaji wa ela. Husband material hawezi kukupa ela tu kisa umemuomba pasipo kujua matumizi sahihi ya hio pesa ni yapi na yana faida gani. Sasa jichanganye tuendelee kukuchezea kwa kigezo cha kuhudumiwa
 
Kesi imepelekwa mbele jf itakaa tena wiki mbili zijazo
Upelelezi unaendelea kwa mda
Je wewe ni wife material au unazan mwanamke kupambana ndio anakuwa wife material?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Yeye anadhani kujimwambafai ndiyo sifa mojawapo ya kumfanya aonekane ni wife material! Kumbe na yeye mwenyewe ni wale wale tu.

Maana hajatuambia sababu ya kumilikiwa na mwanaume asiye na kazi! Na anayeshindwa kumtimizia hayo mahitaji yake.
 
Si mlisemaga haki sawa..sasa mnataka laki 3 za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…