Yaani umekenua kuliko ngiri pori??moja kwa moja kwenye kichwa cha habari, nadate na mke wa mtu sasa mimi nilijua ni siri yangu na yeye,nashangaa juzi ameniambia nimsindikize mahali vuuuuuuuh tunafika nakuta nimeandaliwa chakula kumbe ni nyumbani kwao,nimemkuta mama yake amefurahi kweli anasema nimesikia mambo yako mwanangu nawatakieni mafanikio kwenye safari yenu,endelea kumtunza mwanangu,daaaah nikabaki nakenua kenua meno tu maana sikujua hata niitikie vipi isee.
daaaaaaah nimekupata mkuu,maana nilianza kunogewa,natemana naye asijekuniletea majanga iseeMkuu achana na huyo mke wa mtu yatakuja kukukuta ya ajabu mara unapigiwa simu anaambiwa njoo uchukue mzoga wako huku na wakati unaendelea kushangaa statement hiyo mara inaingia text bado zamu yako sasa na assume ndo upo ofisini kiti cha moto kazi hazifanyiki full presha unaaga fasta job kuwa umepata emergence full mawazo unafikiria hatima yako. Ukitaka usipate mapresha haya cha msingi usijenge kibanda yaani kula tambaa usijenge tena mazoea ya mara kwa mara na cha kushangaza sasa mke wa mtu akishazoea hajali anaanza kujiachia akili zero kabisa
LETE STORY HIYOPole sana, watu Wa Tanga ndio wanayaweza hayo. Nina stori moja inafanana na yako.
Mpaka sasa bado unatumia kichwa cha chini kufikiri,kichwa cha juu kikiamuka na kuchukua majukumu yake labda utaweza kugundua kuwa mlugaluga ni wewe.ni kama ameachika jamaa yake anamke mwingine!sema huwa anamtembeleaga na hata nyumba anayokaa ni huyo mlugaluga alimjengea