Sivutiwi kabisa na haya mabeseni ya kuogea (Bathtub)

Umeeleza vizuri sana RRONDO , nilitamani kumueleza kwa maneno haya nikashindwa. Kinachowasumbua watu ni ushamba wa kutokujua hayo kazi yake nini na palipo na hayo kuna nini. Huwezi weka bathtub halafu usiweke bomba la mvua hapohapo au pembeni kutegemea na ukubwa wa bathroom
 
Sidhani kama kuna bathroom yenye bathtub tu peke yake bila kuwa na shower head. Kwa sababu kwanza kuoga kwenye bathtub ni leisure, lazima uwe na utulivu/muda. Pale unapohitaji haraka haraka unatumia shower.
This is what I know, sijawahi enda popote nikakuta bathtub bila shower head
 
Hapa Temeke kwa sokota ipo Lodge moja inaitwa Crescent room 25k lipo hilo dubwasha ila binafsi halikunivutia maana nimelikuta lichafu afu nilikua na ugwadu wa mbususu ya mtalaka wangu
Hayo yanakuwaga maintained vizuri kwenye hotel za kuanzia laki moja kwenda juu. Lodge ya elfu 25 hata taulo zao siwezi kutumia maana standard za usafi sidhani kama zinafikia viwango vya kukidhi kuzuia magonjwa
 
Make sure hilo dude umeliweka Masterroom.... unalitumia wewe mwenyewe...

Usafi wa haya madude ni muhimu sana,,,ndio maana hotels nyingi haya madude yamewashinda usafi..

Yamekuwa yanabadilika hadi rangi
Hilo ni kwa ajili ya master bedroom, sio bathroom ya public.
 
Nikiwa na kwangu hio kitu haiwez kukosa.

Kinachofanya uyaone ya ovyo ni usafi na jins ulivyopanga kulitumia.
 
Tengeneza hiv bafu lako usimnyime mwenzio raha. Kuna mda mwili unatamani kukaa ndani ya maji
 
Hilo kwangu nimelifanya pipa la kutunzia maji..mda wenyewe uko wapi,kuondoka kombora kurudi lala salama..kuiga huku mhh😆
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…