MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
MmechanganyikiwaUkiwa mwanasiasa kuwa na ujasiri wa kupokea yote na kuvumilia yote ndio sifa kuu ya viongozi shupavu, hakuna anaeunga mkono dhihaka dhidi ya rais au binadamu yeyote, lakni kinachopingwa ni adhabu na muamsho dhidi ya sheria mbovu ya mawasiliano ya mtandao...
hats wew jua kuwa hatukuungi mkono wew tunaunga mkono unachokisimamia, siku ukijichanganya tunakubwaga tu Kama wenzako..
Lema sasa naona umeanza kuwa mtu mzima na muelewa sana! Na kupongeza kwa kulitambua hilo na ninajua huu ujumbe umewafikia wale walio mchangia kwania ya kumbeza Rais!" Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali , lakini kwa hakika kabisa siungi mkono Rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu . Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)
Tangu ujiunge na Team Mamvi hakika unaongea pumba sana. Umeshaiga mambo ya BAVICHAMkuu GODBLESS J Mbona wewe ulimuita waziri Mkuu Pinda MWONGO kama SHETANI? Bwege na shetani lipi kubwa?
Hata mimi siungi mkono, ila adhabu aliyopewa huyu kijana ni kubwa kuliko! Hatukuwa na namna zaidi ya kumuwezesha.
Hata hivyo hii sheria ya mtandao ni kandamizi mno halafu inakata upande mmoja.
Kwa mara ya kwanza na mimi nimemuunga mkono leoLema sasa naona umeanza kuwa mtu mzima na muelewa sana! Na kupongeza kwa kulitambua hilo na ninajua huu ujumbe umewafikia wale walio mchangia kwania ya kumbeza Rais!
Hongera sana kumbe na wewe una chembe ya busara na hekima! Lakini huu ujumbe ili bidi uwafikie wale wabunge na vijana wachadema walio changishana wazi wazi kwa kejeli ili kumuunga mkono yule kijana ********!
Hakika umeanza kuwa mkubwa na umekuwa kabisa hongera sana!
Adhabu aliyopewa si kwa sababu ya kosa alilolifanya.Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Kweli lema kakua nawaomba Mmawia Ben Saanane wamuunge mkono mzalendo God bless LemaTangu nmeanza kukufatilia post zako na hotuba zako leo ninadiriki kusema kuwa UMEPEVUKA kisiasa,Big up Mbunge wa Arusha
Swali la maingi sana. Inawezekana wameanza kufarakana huko kwenye kumchangia huyo kijanaAsante Lema,
Lakini mbona kama alichangiwa 4.5m za faini na viongozi wa chama chako mkoa, au mlimchangia baadae mkamwambia lakini kijana umekosea au ulinyamaza kimya.
Nasubiri comments zao humuKweli lema kakua nawaomba Mmawia Ben Saanane wamuunge mkono mzalendo God bless Lema
Ni wazi Godbless J Lema kwa uzalendo alio onesha sasa ata anza kuitwa msalitiKwa mara ya kwanza na mimi nimemuunga mkono leo
Kwani bwege na mpumbavu lipi tusi kubwa ama sababu lilitumiwa na Rais mstaafu kwa mawaziri wakuu wastafu Lema kachemkaRais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
Ni wazi kwa post hii ya Lema hajapendezwa na kile kitendo tena kuchanga hadharani ndio kumeonesha kejeli zaidi na kuyaunga mkono matusi dhidi ya Rais...!Swali la maingi sana. Inawezekana wameanza kufarakana huko kwenye kumchangia huyo kijana
Lema umechemka tena mbona ulikaa kimya mkapa alipowaita sumaye na Lowasa wapumbavu. Kwangu mimi upumbavu ni tusi kubwa kuliko bwege. Sheria lazima zifuatwe na watanzania wote akiwemo rais na mawaziri. Kiukweli sikushangai labda unaitafuta gear ya kurudi bungeni maana katika watu ambao hawaaminiki ukawa ni wewe umetokana sana Lowasa wa watu baada hata haya huna ukajifanya unapiga kampeni ninyi wanafiki wa cdm na ccm Hukurupuki yenu Mungu anaijua kwa kuwqfanyq watanzania kama mizoga ama wana utindia ubongo kwa uovu wao" Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu .
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)
Kama hii ni hoja yako vasi kulikuwa hakuna umuhimu wa Rais kuwa na ulinzi kama anaopata kwa gharama ya walipa kodi.Ndiyo, kwani ye ana damu ya hudhurungi?
After all, mi na walipa kodi wengine tunamlipa mshahara na kumtunza.
Unawezaje kujilinganisha na rais wakati hata ujumbe wa mtaa huna,lazima utambue heshima anayopewa rais ni taasisi si kama mtu binafsiSawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Adhabu ile hipo kisheria kabisa haijatokana na matakwa ya judge..sheria ya mtandao.Adhabu aliyopewa si kwa sababu ya kosa alilolifanya.
Ni kwa sababu ya utovu wa nidhamu.
Mambo ya Orlando haya!Ni wazi kwa post hii ya Lema hajapendezwa na kile kitendo tena kuchanga hadharani ndio kumeonesha kejeli zaidi na kuyaunga mkono matusi dhidi ya Rais...!
Hakika Lema kanitoa machozi kwa uzalendo alio onesha!
Lema amepingana nao wazi wazi wala hajajificha!
Kemea kwanza tendo linalofanywa na vijana na madiwani wenu. Kitendo cha kumchangia fedha mtuhumiwa kinatoa taswira mbaya kwa chama chenu japo wengine wanaona ni kitendo cha kishujaa lakini huwezi kuenzi ushujaa katika mambo ya kijinga.
Hakika leo nimekuona ni mwanasiasa mahiri na uliyeiva haswa" Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu .
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)