Kuna matukio ambayo moja kwa moja yanadhalilisha mamlaka, si mtu. Ukinisukuma nyenyere mie si habari kwani tutazozana yakaisha. Lakini ukamsukumu waziri mkuu, umeisukuma mamlaka iliyo ndani yake. Sidhani kama mwisho wake utakuwa mwema. Fact of life!Hoja yako ni nini sasa hapo?
na ndiyo maana sasa kagame na mkuu wetu ni maswahibaSisi na Rwanda tunaanza kufanana
Kamanda lema ni wewe, fake ID au hackers wamedukua account yako???"Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali, lakini kwa hakika kabisa siungi mkono rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko, Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu.
Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono, lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara"
Godbless Lema (Mp)
Bwege maana yake ni MTU mzembe/mwenye malinji linji anayeambiwa kila neno na kulikubali yaani kama kisonoko vileKwani bwege maana yake ni nini wakuu, hata mimi siungi mkono matusi, na kwa humu JF ukitukana huchelewi kupata ban
Ila Rais ni mkubwa aisee sio sawa na normal person.Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Ndio maana Mnyika alidiriki kumuita dhaif. Sasa huyu ni strong, mnalialia nini?Rais aliyetukanwa Ni JK bana Ila hajapungukiwa kitu
Tehetehe! Even I am strongman. Maneno huwa hayaishi, hata huyu akiondoka utasikia aheri JPMNdio maana Mnyika alidiriki kumuita dhaif. Sasa huyu ni strong, mnalialia nini?