Godbless J Lema
Arusha MP
- Sep 28, 2013
- 92
- 2,205
Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Rais wa Marekani anaitwa majina mengi mabaya kuliko hilo la bwege...
Sheria hizi lengo ni kuleta hofu kwa ujumla kwa watu
wasiwe free kumkosoa....
mkuu ni kweli kumpeleka mahakamani yule Kijana haikuwa busara, atawapeleka mahakamani watu wangapi" Ninafikiri ni vyema na muhimu tukaendelea kukosoana kwa njia mbali mbali , lakini kwa hakika kabisa siungi mkono Rais kutukanwa kwa kejeli ambazo zina sura ya mizaha na sio mabadiliko , Rais kuitwa BWEGE ni kosa na utovu wa nidhamu . Kosa hili halipaswi kutiwa moyo wala kuungwa mkono , lakini kumwambia Kijana huyu kuwa alikosea ni jambo muhimu zaidi na la busara " Godbless Lema (Mp)
Mkuu, kama umemsoma vema Lema amewakemea na hao wanaomchangia. Soma vizuri utaelewaKemea kwanza tendo linalofanywa na vijana na madiwani wenu. Kitendo cha kumchangia fedha mtuhumiwa kinatoa taswira mbaya kwa chama chenu japo wengine wanaona ni kitendo cha kishujaa lakini huwezi kuenzi ushujaa katika mambo ya kijinga.
Siyo rais wa Marekani tu.
Hata wa Kenya tu hapo.
Achilia mbali akina David Cameron, Jacob Zuma, Francois Hollande na wengineo huko kwenye demokrasia kutushinda sisi.
Sisi na Rwanda tunaanza kufanana
HahahaaaaaaKwani bwege maana yake ni nini wakuu, hata mimi siungi mkono matusi, na kwa humu JF ukitukana huchelewi kupata ban
Kwa hiyo unataka kujilinganisha na Rais wa nchi?Sawa, lakini hata mimi sidhani kabisa kama hilo kosa linaendana na adhabu aliyopewa huyo kijana.
Angeniita mimi 'bwege' unadhani hata angekamatwa?
Au hata ningeenda kumfungulia mashitaka unadhani angepewa hiyo adhabu aliyopewa?
Kwa hiyo unataka kujilinganisha na Rais wa nchi?