Sitting allowances: CCM hawaelewi ya CHADEMA, watashurutishwa na Wafadhili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitting allowances: CCM hawaelewi ya CHADEMA, watashurutishwa na Wafadhili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWEEN, Jun 3, 2011.

 1. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Dear JF readers,

  I heard yesterday evening and this morning on radios across the country people discussing the issue of sitting allowances. Hon Zitto put it straight that the saving from this disease would be used to alleviate the suffering of majority through reduction of fuel tax. Surprisingly, I heard Hon Chiligati uttering obscenities to the opposition that if they do not want the allowances they should stop taking it. On the other hand, another MP says that the Per-diem of 80,000 is too little so it has to be supplimented by TSh 70,000 paid for sitting allowances.

  Well, I have a feeling that this is an indication of a system that is out of touch with reality. Furthermore, these CCM MP are telling the people who put them to that position, that they are there to rip the sweat of the taxpayer no matter how!

  On a domestic notch, the TShs 80,000 is the senior civil servant per-diem rate in a city like Dar, Arusha, etc. the other cadres get TShs 65,000 and 55,000. These rates have been there since, if I am not wrong, 2002. Hardly anything to go by given the standard of life today. Instead of advocating to raise this rate to everyone, they prefer to pay themselves allowances and leave the common mwananchi to suffer! This is the reason behind why CCM is hated by everyone who does not have the opportunuty to earn sitting allowance.

  This habit is costing the economy and every sphere of life as well. Researchers are finding it hard to conduct seminars to farmers because they want to be paid "sitting allowances". Students cannot attend "entrepreneurship course" unless they are paid sitting allowances!! This is the country of allowances that have replaced "vibali" of the early to middle 80's. I read in a newspaper late April that "Wawekezaji wa uwindaji (Three companies)" have gone three years without paying land rental fees to the Serengeti District Council because these companies refused to pay for sitting allowances amounting to something above 25 million for the "Kikao cha madiwani" who would discuss their application request. The guys are still hunting!!!!

  It appears that we are waiting for the Wahisani to say to us " Abolish the sitting allowances or we are not contributing to the budget" for us to heed the CDM call. Already all the projects funded by the donors are not paying for this. AND, the meetings that do not pay allowances are not attended by appropriate representatives. Senior officers normally send very junior staff to meetings not paying sitting allowances. This hurts implimentation of donor funded projects and normally money is returned un-utilised.

  To sum it up, if you do not heed the CDM call, wait for the donors, if this fails, thw Wananchi will decide come 2015.

  Cheers
   
 2. k

  kiloni JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Very analytical! I like this.
  It is a reality. It touches everybody.
  Lakini jambazi haachi ujambazi lazima awe na mbinu mpya za wizi.
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Sikio la kufa halisikii dawa!
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kama kuna vitu vinne ambavyo vinatumika kufuja pesa za umma na kuwanufaisha wakubwa ni:

  1. Sitting allowances
  2. Per diems
  3. Mafuta ya magari kwa wakubwa.......
  4. Tea and entertainment allowances

  Hizo namba 1-3 huwa wakati mwingine mtu anaweza kupokea malipo ya vikao 2 au zaidi kwa siku!!


  Tukiweza kupambana na haya mashetani basi tutaokoa pesa nyingi sana kuwafanya wakubwa watulize ****** yao chini (ofisini) na kufanya kazi. Je hawatabuni mbinu ya kuzitafuna kwa ujanja mwingine?
   
 5. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I practically do not see any problems with these allowances if those guys are
  discussing and making tangible decisions for the benefits of the nation,
  the problem is that, they do not do that, if they will seat and make decisions
  which lead our nation to gain prime benefits from our minerals, agriculture,
  improve infrastructures, improve education system, improve health care,
  combat corruption and cater for the security of every Tanzanians Life
  and their properties etc.

  My genuine position is that, let paythemselves more and more allowances
  as long as they are doing the right Job.

  But now that they are doing nothing, the do not deserve even the minimal
  salaries.

  On top of that, I think it is also high time, the renumeration policy in our
  Government to be modified and be performance based remunerations
  instead of paying flat guys like Kikwete and his cabinet.
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hili ni tusi kwa wananchi kwamba Wabunge/Watendaji wakubwa serikalini hawawezi kuishi bila hizo posho lakini wananchi wanaweza..afu ndio tutegemee watu kama hawa watutoe kwenye huu umaskini..,Never Ever..!
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I used to work for a certain multinational company and they had a very interesting policy. No sitting allowance. However, they would pay a good salary even if you are a Board Director and just give you a meal allowance ( based on cost of food) and make sure they foot the hotel bills (wao sio wewe) minus food and drinks and laundry. The idea was to discourage staff and directors from having uncalled for meetings so that poeople could earn some extra money. Wabunge wetu wanaanzisha safari na vikao visivyoisha kwenye kamati ili wapate sitting allowance. Wizi mtupu! Walipwe vizuri wafanye kazi yao bila sitting allowance isipokuwa ya posho ya chakula kidogo na hotel zilipwe na Bunge. Utaona mikutano isiyoisha tena! Chadema is spot on.
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nchi ya posho za kukaa!
  Kukaa ni kazi, makalio ya waheshimiwa ni very expensive, lazima tuyalipie yakikaa kwenye kiti cha kuzunguka na chenye pamba safi ndani ya chumba chenye unyunyu unaotokana na umeme wa generato coz umeme umekatwa.
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Posho za vikao zikifutwa tu Serikali na baadhi ya Mashirika yasiyolipa vizuri watakosa wafanyakazi wazoefu.
   
 10. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Naunga Mkono
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Tanzania is the only country in the world whereby some 350 guys calling themselves MPs are getting paid for sleeping comfortably in the Bunge and still asking for more!!!!!!
   
 12. h

  hans79 JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  u sahihi kabisa,sababu pana harufu ya rushwa ya kupanga semina zisizo na tija.
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhhh Bigie!!!

  Tunalipia makalio kweli.......? Hapa ndo namkumbuka sana na kum-miss Rev. wetu mpendwa sana Masa!!
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu,

  Ukiacha ufisadi wa mikataba na uchafu mwingine wa mambo ya manunuzi...allowances ni ufisadi mwingine mkubwa sana katika nchi hii. Kama ningekuwa na data za budget, naamini tungeona ni kiasi gani cha pesa za serikali zinaenda huko. Naamini ni zaidi ya mishahara ya wafanyakazi wote kwa mwaka......Kwa hiyo ukizitupilia mbali hizi allowances zote, basi unaweza kuongeza mishahara kwa 100% bila kuathiri bajeti na pia haiwezi kupunguza utendaji.

  Hata hivyo hakuna mkubwa yeyote serikalini atakayeweza kukubaliana na hili. Kwani hawa ndio wananufaika sana na huu wizi. Kwa mfano, kwa safari moja ya kumsindikiza JK nje ya nchi (eg kwa siku 10 tu), mtu anaweza kuvuna karibia 10,000USD.. kwani kama anapata 465USD per day na kwa safari ya siku 10 ni karibia 5000. Ukianza kuingiza emergency na uchafu mwingine, mtu huyo hakai mbali na 10K....Huu ni zaidi ya mshahara wa wafanyakazi 100 wa kima cha chini kwa mwezi. Hebu piga hesabu ya timu nzima inayomsindika Mkulu basi utajua ni jinsi gani allowance ni grand corruption iliyohalalishwa!

  The problem is bigger than we think!!
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  Serikali inatarajia kutumia Sh. trilioni 12.8 kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012, kati ya hizo Sh. trilioni 8.8 ni kwa matumizi ya kawaida, yaani posho na mishahara na ulaji mwingine, wakati fungu la maendeleo ni Sh. trilioni nne tu.
  Utaratibu wa kupitisha bajeti ya ulaji umekuwa ni utamaduni wa taifa hili, kwani hata mwaka huu wa fedha unaomalizika serikali ilipitisha bajeti ya Sh. trilioni 11.6, kati yake Sh. trilioni 7.7 zilikuwa kwa fungu la kawaida na Sh. trilioni 3.8 kwa ajili ya maendeleo.
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Namshukuru sana Saint Ivunga mchango wake nimeukubali,nataka nimshauri mtoa mada na wengine kuwa nchi yetu ipo kwenye harakati za ukombozi,ili tufikie lengo inabidi kuwashirikisha wananchi wengi na kama sio wote,kama ni hivyo ni vizuri tukaandika mada kwa lugha inayoeleweka kwa watanzania wengi ili kila mmoja aelewe na achangie mawazo yake na tujue namba kubwa ina mtazamo gani!
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ni sawa ila hatutakiwi kuweka vikwazo kwa sasa. Mtu ajieleze kwa lugha anayoona inampendeza kama suala lenyewe halihusishi uwasilishaji rasmi (official presentation/communication). Hii itasaidia kupanua mijadala yetu kwani hatutakuwa na ukiritimba. Mimi ni mpenzi wa kiswahili ila pale nisipoelewa endapo wenzagu wametumia lugha ya malkia nakimbilia google.
   
 18. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,802
  Likes Received: 2,748
  Trophy Points: 280
  What hurts more is the allegation that even when they are absent from bunge sesions they are paid anyway. Upinzani wa paswa kulisimamia hili jambo ili fedha hii elekezwe katika mambo yenye tija zaidi.

  Naunga mkono hoja ya kambi ya upinzani bugeni.
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  tuko pamoja . tuweke uhuru wa kujieleza kama mtu hataelewa kilichoandikwa aombe msaada hapa watu wengi wapo tayari kumsaidia tafsiri
   
 20. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Daima najiuliza kwani i ulipwe allowance kujadili ufanikishaji wa kazi yako?huku private sector ukiwa katika kikao cha kikazi hakuna allowances zozote, allowances za private sector huku ni same rate regardless we ni nani?kwanini wasiige huu mtindo?naamini private sectors are doing great job kuliko serikali ambayo kimsingi ndio jukumu lao kufanya yanayofanywa na private sector
   
Loading...