Wewe jamaa nilikuheshimu sana kumbe hovyooooooooooooo!!!namii naunga hoja ya mzee sita hivi nawauliza anachotaka nini mzee warioba au ndio tukubali alivyosema tutakutana mitaani ndio ameanza kupiga kampeni? aelewe kipindi chake kimepita
hapa amna kueshiamiana hapa tunataka hoja tu,heshima uko kwenu singidaWewe jamaa nilikuheshimu sana kumbe hovyooooooooooooo!!!
nasema hivi,hii story ni ya kutunga,usome vizuri huo utangulizi utagundua haufanani na 6.
Mzee warioba ni mzalendo
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.
Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.
Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
nasema hivi,hii story ni ya kutunga,usome vizuri huo utangulizi utagundua haufanani na 6.
namii naunga hoja ya mzee sita hivi nawauliza anachotaka nini mzee warioba au ndio tukubali alivyosema tutakutana mitaani ndio ameanza kupiga kampeni? aelewe kipindi chake kimepita
Mzee warioba alikuwa anafafanuwa vizuri kabisa katiba ata mimi nisiyekuwa najuwa kilichoandika ktk katiba nilianza kutambuwa uwozo wa hiyo katiba pendekezwa. Sasa kumbe hata UKAWA wana haki kutoka bungeni. Huyo Sita si mzalendo anapenda uongozi tu kazi kubebwa bebwa
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Wewe jamaa nilikuheshimu sana kumbe hovyooooooooooooo!!!
Wewe ni binti yake?We ni mama 6 unamjua vizuri huyo mharamia /??