Sitta Vs Kificho

Sitta Vs Kificho

bategereza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
3,314
Reaction score
1,072
Mimi naona Mhe. Kificho aliliendesha bunge maalum kwa umahiri zaidi kuliko mh. Samwel Sitta. mh. Sitta amepoteza ule umahiri wake aliokua nao waqt akiwa spika.
 
Wampige chini achaguliwe kificho, huyu chura kashazeeka hafai kwenye madimbwi yenye tope
 
Nasikia nae anawania kupanga pale magogoni. kwa umri wake akifika kipindi cha pili si atakua kama Mugabe ?!!!
 
Mmh haya lakini mimi naona wote ni walewale tuu
 
Nafikiri kwenye CV ya Sitta inabidi aongezee hiki:
Interest/hobbie: Kupenda madaraka
 
Hahahahahahahaaaaaaaaa! Wote sawa kwa kila kitu isipokuwa uraia wao tu Mtanganyika na Mzanzibar
 
yaani, MIMI NAJIULIZA IWEJE MTU ALIYEONGELEA RUSHWA ANAPELEKWA KWENYE KAMATI YA UONGOZI KWA AJILI YA HATUA ZA KINIDHAMU WAKATI MTU KAMA MWIGULU NCHEMBA NAIBU WAZIRI WA FEDHA ANAONGELEA MAMBO YA USHOGA BUNGENI HARAFU ANAACHWA, YAANI KWELI WAZIRI MZIMA ANAONGELEA USHOGA BUNGENI TENA MBELE YA VIONGOZI WA DINI HARAFU ANAACHWA, HAPO NDIPO NIMEJUA SITTA HAKUNA KITU.
 
Sitta aliapa hatakua na upendeleo lakini tunamuona dhahiri huyu bw. hawezi kuongoza nchi achilia mbali bunge la katiba. Hivi sijui posho ya Sitta ni tofauti na za wengine ? amekua mbunge tangu 1975 si awaachie na wengine jamani.
 
Nasikia nae anawania kupanga pale magogoni. kwa umri wake akifika kipindi cha pili si atakua kama Mugabe ?!!!

Ronald Reagan na Winston Churchill walivuma sana nyakati zao wakiwa wamekomaa kama Mugabe. Wewe unataka wakina Clinton waliokuwa wanashughulikia wakinadada Lewinski tu?
 
Ronald Reagan na Winston Churchill walivuma sana nyakati zao wakiwa wamekomaa kama Mugabe. Wewe unataka wakina Clinton waliokuwa wanashughulikia wakinadada Lewinski tu?

Kweli mzee wangu ndio maana binafsi naamini katika uwezo na experience ya mtu si umri!
 
Ronald Reagan na Winston Churchill walivuma sana nyakati zao wakiwa wamekomaa kama Mugabe. Wewe unataka wakina Clinton waliokuwa wanashughulikia wakinadada Lewinski tu?

Twende na wakati. Winstone na Reegan walitawala enzi hizo. hii ni karne ya digitali. fb. twitter. whatsapp etc. Mfano mzuri Mugabe anaufanyia nini uchumi wa Zim ? au closer home. M7 inchi inaanza kumshinda. Tusome alama za nyakati. Tunao vijana wengi sana capable wa kuendesha nchi. Angalia Uingereza au Marekani ya sasa.
 
Sita akiunyaka urais sijui tutamuitaje. Mwinyi tulimwita ruksa. Mkapa tukamwita Benny huyu ni JK Sita nafikiri tutamuita Mzee SS
 
Mimi naona Mhe. Kificho aliliendesha bunge maalum kwa umahiri zaidi kuliko mh. Samwel Sitta. mh. Sitta amepoteza ule umahiri wake aliokua nao waqt akiwa spika.

sita anajisikia ni fisadi ana tamaa HAFAI KABISA HUYU MCHUMIA TUMBO
 
Namuona Sitta sasa hv. Bunge linaendeshwa bora liende
 
Back
Top Bottom