Sitta Vs Kificho

Sitta Vs Kificho

tukiacha siasa mh..KIFICHO....aliongoza vizuri kwanza ameweza kuliongoza bunge bila ya kanuni lakini 66666666666666666666666666666666...ana kanuni lakini ana vuruga HELLLLLOOOOOOW TANZANIA
 
Halafu nasikia hii namba 66666666 ni ya watu wanaoabudu miungu yenye pembe.
 
Sitta kaingia mkenge akavunja kanuni alizoziacha kificho kwa mantic hiyo amekosa sifa kuwa kiongozi kificho bab kubwa unafanya mchezo nini!
 
Kificho ni mzoefu sana na angeendelea ndo tungeona utamu hapa
 
Nilistaajabu sana ccm walipo mteua huyu babu! Mbona alishaonesha udogo wa uwezo wake kipindi alipo kaimu uwaziri mkuu mwaka 2011 ?
 
Mimi naona Mhe. Kificho aliliendesha bunge maalum kwa umahiri zaidi kuliko mh. Samwel Sitta. mh. Sitta amepoteza ule umahiri wake aliokua nao waqt akiwa spika.

Anajikosha kwa maccm wamchague kugombea urais 2015
 
Back
Top Bottom