Sitta: Urais utanifuata wenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta: Urais utanifuata wenyewe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibunda, Dec 21, 2011.

 1. k

  kibunda JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatimaye Sitta ameanza kutoboa jibu. Leo akiwa jimboni kwake Urambo amesema kuwa hatua yake ya kutoa misaada makanisani siyo kwamba anatafuata urais. Kwamba kama Urais upo basi utamfuata wenyewe kwa wananchi kumhesimu.

  Source: ITV
   
 2. u

  ulanzi Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kauli hiyo alikuwa anamaanisha nini? Sitta sio rahisi kuwa raisi isipokuwa labda kwa mgombea anayemuunga mkono.
   
 3. u

  ulanzi Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kauli hiyo alikuwa anamaanisha nini? Sitta sio rahisi kuwa raisi isipokuwa labda kwa mgombea anayemuunga mkono.
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kasema sawa tu!
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sasa kama kila mtu anataka uraisi uwaziri mkuu atakuwa nani? Nini kinawasukuma hawa jamaa kuona wao ndo wenye haki ya kutuongoza?
   
 6. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Angesema utamfua kupitia chama gani tungemuelewa vizuri. Au mgombea binafsi ishakubalika?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  watanzania bhana wengine wanakufa na mafuriko wengine wanafikiria urais
   
 8. m

  massai JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sidhani hata huko kwake kama watampa.funguka zaidi mzee,wenye akiliza washagundua janja yako,enhe....endelea mzee kupitia chama gani? Chadema unafiki mwisho hutopata nafasi,labda ccj kwani hata magambani hutopata na watanzania walishachoka na magamba longtime kitambo,endelea kufunguka mzee tunakusubiri,kweli wazee wa magamba wanazeeka vibaya...
   
 9. k

  kamangaza25 Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Wewe mzee uko mwehu
   
 10. k

  kamangaza25 Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Labda unaweza kuwa rais wa kwenu Urambo
   
 11. k

  kibunda JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inavyoonekana bado ana matumaini ya siku moja kucheza karata za urais. Hata hivyo, kwa jinsi alivyo na hasira na visasi, akipata rungu inaweza kuwa balaa!
   
 12. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wakati anatoa kauli hiyo alikuwa hajayaona mafuriko maana Tv zetu zilikuwa zinapiga music the whole afternoon
   
 13. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jibu zuri,sio mtu anajiapiza eti 2015 lazima awe Raisi.
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Huyo naye kwa kuongea... Ananikumbusha Mudhihir Mudhihir...!
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ndo maana nalichukia sana hili zee..yaaani lijinga sana.lina uroho sana wa madaraka hili
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hilo lizee ni linafiki kupindukia.
   
 17. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Napita tu wakuu
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mi naona kaongea vizuri tu
   
 19. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Nasaini kwa NiABA
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Tatizo JK kaifanya hii kazi ionekane rahisi sana!!! Sidhani kama enzi zile za Nyerere alishawahi kufikiria haya anayoyasema unless kwenye ndoto!!!
   
Loading...