Mi naamini sitta, Lowassa, sumaye, Hakuna ambae hautaki urais, Hata mimi ingetokea ningeomba kua rais, ila kwasasa bado nasubili muda ufike.. Ila hawa wote kwakua washaonekana wanatafuta kuja KUKOMOANA, HAWATUFAI... WANA VISASI WATAIPELEKA NCHI YETU KUBAYA...! Mamvi na kikosi chake hawafai, nadhani mnakumbuka maneno ya hasira aliyoyatamka Andrew vicent Siku alipochukua form ya kuwania USPIKA. Sitta nae, alikua mmoja wa wana mtandao wa bwana mkubwa,U-pm tunajua ndo ilikua inshu kubwa.. Sumaye urafiki na Mamvi una unafiki mkubwa, kwani Mamvi ndo ilikua inshu kubwa ya Mkapa kumtosa Sumaye..! HAWA WATU WANA VISASI... HAWAFAI... Mizengwe ndo yeye hata U-pm analazimishwa.. Hivi huyu MAMVI akiwa Rais Mtu kama NAPE, Chiliggati, sitta watapona hawa...? Sitta akiwa Rais, watu kama Vicent, Edward, Azizy na kambi zao watapona...????