Museveni na Kagame wamenuna baada ya Mr. Dhaifu kuwashauri wakae meza moja na wapinzani wao wa kisiasa ambao wako msituni.
Kenyatta alichofanya ni kutumia mwanya huo ili kufanya biashara na nchi hizo mbili ambazo zimeamua kuikimbia bandari ya Dsm ikiwa ni njia mojawapo ya kuonyesha kutokubaliana na ushauri wa Mr. Dhaifu.
Na kwakuwa hao maraisi waliokutana hawana masihara kwwenye mambo serious hasa ya kuinua uchumi wa nchi zao haitakuwa ajabu kama kikao hicho kikawa mwanzo wa kuparaganyika kwa jumuiya ya Afrika Mashariki.
Wakati maraisi wengine wanafikiria na kutekeleza mipango ya kuinua uchumi na kuboresha vipato vya wananchi sisi huku Mr. Dhaifu yuko busy kupanga mipango ya kuihujumu Chadema.
The two points in red are true facts and will justify the means. Tanzania tuko magoigoi mno na tunapenda sifa
tusizozistahili. Haya yote ni majanga tuloletewa na ccm chini ya kiongozi dhaifu sana Kikwete na yule Mp.umba.vu Pinda.