Josephmnyonzi
Member
- Aug 6, 2014
- 74
- 6
Huyu Mzee ni msanii tu, alikuwa ameishajipigia bajeti ya laki tatu tatu na mkewe hadi October 4 halafu UKAWA wakataka kumpora kitumbua. Huyu mzee viwango vyake viko chini sana mkimpa uraisi kuna hatari tukarudi kupanga foleni ya sukari na sabuni au kuvaa makaniki yale. Amechoka kiakili

Tatizo kubwa la sisi wabongo ni uvivu wa kusoma between the lines, yaani sentensi hata hazifiki kumi kuzisoma kwa utulivu na kuzielewa ni sheeedah je kitabu? No wonder wazungu wanatutania kwamba kwa mswahili ficha fedha kwenye vitabu utazikuta!! Namnukuu mleta mada...''Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba....'' wapi amekuambia ameyaongelea bungeni?
mkuu umeacha wizi wa simu?Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba
F##ck him! I hate that mazafanta
Watu wengi wanashindwa kuelewa ni kwa nini Sitta anakuwa mzito kuelewa hali ya kisiasa nchini.Kwa mara ya kwanza hapa Dodoma, Samwel Sitta kiongozi wa bunge maalum la katiba amekiri kwamba wana wakati mgumu.
Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba, nimethibitisha.
"Kwa kweli muda unavyozidi kwenda na kila jambo tunalofanya tunakumbana na upinzani mkali kinyume kabisa na matarajio yetu" alisema Sitta.
Sitta pia katika kikao hicho amesema kuwa anajiuliza sana ni kwa nini upepo unawabadilikia hivyo na anaonekana kukata tamaa kama rais Kikwete ataridhia rasimu ipigiwe kura mapema.
Sitta kwa mara ya kwanza tangu aanze mchakato huu wa katiba amesikika akisema kuwa ana wasiwasi huenda akageukwa siku za usoni na mahasimu wake kisiasa ndani ya CCM kwa lengo la kulipa kisasi ingawa hakugusia ni kisasi cha aina gani.
Ni ukweli usiopingika kuwa Samwel Sitta amejikuta akipoteza kabisa mvuto aliokuwa nao kisiasa baada ya kulingoza bunge la katiba na kujikuta akikosolewa na kutupiwa shutuma nzito waziwazi kama msaliti mkubwa wa wananchi kwa sasa.
Watu wengi wanashindwa kuelewa ni kwa nini Sitta anakuwa mzito kuelewa hali ya kisiasa nchini.
Rais JK ni mjanja na ameliona hilo siku nyingi sana baada ya kupima upepo, na amejiweka mahali pazuri kisiasa kwa ingalau kukutana na TCD ya mzee Cheyo.
Kwa hali ilivyo hata wana CCM kwa sasa wana wasi wasi mkubwa wa yanayoendelea katika BMK kwani maoni ya wananchi yatawarudi tu, muda ukifika.
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba