Wajanja wamemrushia ndoano bila kutafakari kabugia!Ateme tuone sasa!
....Kabisaaaaaaaaaa na huwezi panda Michongoma ukavuna Nanasi!...... Ila ukipanda Marando utavuna Viazi na matembele utakula!. Ndiyo!Na badooooo!! Sitta anavuna alichopanda.
!!!
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.