.....Sitta alisema kama mamlaka hizo hazitachukua uamuzi mgumu kwa kuwakabili watendaji wake wenye utajiri wa kutisha, nchi itaendelea kuwa maskini na wananchi watabaki na maisha magumu......
Huyu mzee ni maiti inayotembea, hata CCM wenyewe tumemshtukia!
Mimi nadhani hapa wa kulaumiwa kwa unafiki siyo Sita bali aliyemchagua kumpa nyadhifa alizo nazo sasa.Nakubaliana na wote wanaosema huyu jamaa ni mnafiki
Sitta aache unafiki kwanza ialitaiwa kuanisha na kutaja baadhi ya makosa aliyofanya na kuwaomba msamaha waTanzania. Baada ya hapol abda tungeelewa six anzumgumza kitu amabcho kinatoka moyoni na ana uchungu na watanzania sio sababu anataka madaraka au kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake
- Ofisi ndogo ya spika Tabora je kila spika akifanya hivyo na walimtangulia wangefanya hivyo ingekuwaje.
- Bado anaishi nyumba ya spika eti ni spika mstaafu. Hivi kama Mawaziri wakuu , Majaji wakuu Ma RC wangeendea kushi nyumba zao baada ya kundka katka nafasi zao ingekuwaje?
<br />ukiona watu tumeanza kuona rangi za sitta ukombozi unakalibia HUYU NI MNAFIKI MKUBWA WA NCHI HII NI HATARI KULIKO LOWASA!
Sita ni mnafiki wa kutupwa na huyu jamaa ameimaliza reputation ambayo angekufa nayo na watu wakamkumbuka nayo ya kuwa spika mzuri. sasa hivi anaharibu tu.
<br />Mbona anawatetea wanyonge wa nchi hii, kwanini kumwita mnafiki?