baba yangu pale izimbili au imala makoye na na nsogor , uyumbu office zina msaidia nani??? tuseme ukweli baba yangu kule ugamba haitaji internet, haitaji wala huo umeme hana shida nao kwa sasa japo vijiji vingine wanao,, wanahitaji pembejeo, za na za kilimo,, ma bwana shamba kama bado wapo,, bei nzuri ya mazao,, wa urabo wamechoka na tumbaku inayo haribu mazingira yao,, wabadilishiwe,, baba yangu mkuu kalima tumbaku mapaka leo hata nyumba ya bati imemshinda sasa amebaki kuwapikia uji wajukuu zake wanao endelea kulima bila mafanikio mazuri,, vyama vya ushhirika na wanunuzi holela wamewafanya ndugu zangu kuwa masikini miak nenda miaka rudi, Mh sitta anajua na anaona