masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,833
- 14,988
Mkuu , miye mzigo wangu mmoja tu nausubiri 2015-Halima Mdee.We mzee wacha kabisa kujidanganya, hili bunge la sasahivi bila wabunge wa Chadema kila kitu kinakuwa cha hovyo na bunge linakosa mvuto. Ilipotokea milipuko ya Arusha na wabunge wetu kuondoka bungeni bunge lilipwaya sana hadi kufikia hatua kupitishwa kwa kodi ya kijinga kabisa ya simcard ambayo baade mabunge mizigo hayo hayo ya ccm yakiongozwa na January yanataka sheria ya fedha ya mwaka 2013 irudishwe bungeni kufanyiwa marekebisho.
Huwezi kumfananisha kamanda Halima Mdee na mbunge yeyote kijana ndani ya ccm, she is far better than anyone, huwezi kumfananisha kamanda Mnyika au Sugu na hiyo mizigo yenu. Kamanda Mnyika anasema na kutenda, Kamanda Sugu anasema na kutenda na hilo unalifahamu lakini kwakuwa mizigo huko ccm ni mingi angalia na wewe usijekuwa ni mzigo basi tu hujatambulika.
Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
Mkuu , miye mzigo wangu mmoja tu nausubiri 2015-Halima Mdee.
Akipita ubunge nakula kadi yangu ya CCM!!!!
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
Mbwa jike lililo katika joto utalitambua kwa kuhangaika, miye namtaka huyo Halima si weye.anza kuila kidogokidogo sababuùkisubiri 2015 itakukaba kooni, hakuna mbwa ndani ccm wa kumsumbua dada ya chuma halima mdee.
Kama vile yeye Sitta na mke wake wote ni mizigo
at eheee, naona mmevumilia mmechoka sasa....hamna namna nyingine...ni kutajana tuWaziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo
Wabunge wa jinsi hii hawatufai hawana Hoja za kuchachafya upinzani alisema Sitta.
Chanzo: Mwananchi, Jumanne, Julai 30, 2013
wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.
hahahahahaha tena mzingo wa mavi kafanya nn tabora ndo wazir toka miaka ya 60 huko kashindwa unganisha lami toka tbr mjin mpk urambo kwake ...ata hy urambo yenyewe kafanya nn cha maana labda kwa kujenga hiyo ofic ya kufikia spika,...hahahahaha mzee anachekesha sana kashindwa tbr(mkoa) et anataka nchi mweee!!
Mbwa jike lililo katika joto utalitambua kwa kuhangaika, miye namtaka huyo Halima si weye.
wataje sio kuingilia kazi isiyo yako kwani wewe ni nani kwenye ccm? katibu mwenezi au katibu mkuu?
Hata hapo yuko chama kingine. We unataka aende physically? Hapo anafanya kazi ya chama kingine ndani ya ukoo wa panya. Sitta husihame chama, bomoa nyumba ukiwa nao ndani.
Wabunge mizigo ni pamoja na lema,msigwa na sugu.