Watu hamna shukran! Akikaa kimya mnamsema ooh kanunuliwa ndio maana kawa bubu. Akikikosoa chama chake bado mnamsema sasa lipi jema kwenu?
Dunia tambara bovu!!!Watu hamna shukran! Akikaa kimya mnamsema ooh kanunuliwa ndio maana kawa bubu. Akikikosoa chama chake bado mnamsema sasa lipi jema kwenu?
jema kwetu aende chama kingine tutulie na unafiki wake huyu jizere
Na yeye je? Miaka mingapi sasa toka amekua mbunge? Na urambo ikoje basi nayeye mzigo samahani lakini
Hata hapo yuko chama kingine. We unataka aende physically? Hapo anafanya kazi ya chama kingine ndani ya ukoo wa panya. Sitta husihame chama, bomoa nyumba ukiwa nao ndani.
Mkuu huyu naye ni kuangaliawa kwa jicho pana kidogo.Teh teh 6 bwana!! Si angemtaja tu komba kepteni na kayombo? Huyu mzee mwisho wa siku ataondolewa kwa aibu ccm, maana upinzani anataka, chama tawala anataka, aah makubwa!
Kama chadema ilivyo mzigo kwa watanzania.Kama CCM ilivyo mzigo kwa Watanzania!!!!!