Sitta autamani Urais 2015

Sidhani kama Sitta atamshinda Tenga kwenye kinyang'anyiro cha urais wa TFF...

Kama unaongelea urais wa JMT hapo hesabia maumivu kwani hatuna tena mpango wa kuweka wanafiki kwenye nafasi hiyo halafu tujiingize kwenye miaka mitano mingine ya ombwe....
 
Sita hawezi kuwa raisi kwa unafiki na usaliti wa nchi yake, ataishia kwenye uwaziri tuu, walimtoa kwenye uspika kwa hila katulia tuu amebaki kuropoka mambo ya sumu ya mwakwenmbe utadhani yeye ndo msemaji wake mkuu!
 
sitta naye keshaanza kampeni kwenye mitandao.?
 

Mpaka apate chama cha kukiwakilisha.:rockon::rockon::rockon:
 
Unataka kujua watu wanamuwazia ninie,hopefully utapata zaidi ya ulichokitaka.
 
Unajua unaweza kuota kw uko New York kumbe uko Tandale kwa Mtogole
 
labda URAHISI , ila sio uraisi wa JMWT , sasa sisi kibabu hicho tukipigie kura cha nini jamani...akagombee uraisi wa mababu wenzie labda watamchagua..
 
ni haki yake kikatiba,hakuna wa kumzuia,labda tubadilishe katiba
 
Tatizo la Sitta ni kwamba ni wale viongozi wenye syndrome mbili mbaya sana;

1) anaona upinzani ni uadui au mtu yeyote aliye kwenye chama kingine zaidi ya cha kwake hana akili sawa sawa
2) anadhani watu wengine wote ni vichwa maji bali yeye peke yake ndio ana busara na anavyoona yeye ndivyo inavyotakiwa

Sasa raisi wa namna hii ni hatari sana kuwa naye katika nchi.
 
Duh mbona mapema sana, hamjui kwamba 2015 mbali sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…