NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
NIMESOMA KATIKA VYOMBO VYA HABARI NDUGU YETU
MH.SITTA AKISEMA IKIWA UPEPO UKIENDA VEMA KAMA SASA KUFIKIA 2014
ATAAMUA RASMI KUGOMBEA URAIS.BiNAFSI NASHINDWA KUELEWA IKIWA ANA MPANGO
WA KUGOMBEA KUPITIA CCM HII AU INAKUWAJE.MAANA SITTA ALIKUWA SPIKA WA
BUNGE LA TISA AMBALO KIMSINGI LILIFANYA VEMA LAKINI SERIKALI
ILIATHIRIKA NA KATIKA MCHAKATO WA KUMTAFUTA SPIKA WA BUNGE LA KUMI
SITTA ALIKATILIWA MBALI.PIA SITTA ALIWAHI KUNUSURIKA KUFUKUZWA
UANACHAMA AKIWA SPIKA SASA NI CC IPI YA CCM ITAKAYO MPITISHA SITTA AWE
MGOMBEA WA CCM NGAZI YA JUU KABISA URAIS WA NCHI?
Mtendee haki Mh Sitta...sema kile alichokisema halafu ndio uweke tafsiri yako!Hana maana kabisa, tumemwambia atoke CCM tumuunge mkona hataki. Tukimpata mwingine asije kutuomba ushirikiano baadaye
Anataka kugombea kwa kupitia chama gani????Pia amesisitiza dr.mwakyembe kalishwa sumu!yeye,mwandosya na mwakyembe wanachukiwa na wana ccm wenzao!source itv news
Mtendee haki Mh Sitta...sema kile alichokisema halafu ndio uweke tafsiri yako!
utabiri wake Arumeru unakaribia kutimia
Ametangaza nia siku ya wajinga?!, hakika naye na watakaomuunga mkono watakuwa wajinga.
Pia amesisitiza dr.mwakyembe kalishwa sumu!yeye,mwandosya na mwakyembe wanachukiwa na wana ccm wenzao!source itv news
atagombea kupitia chama chake cha SISI EMU ndio chama chake Mzee Sita itabidi apumzike bwana ameshakuwa Mzee tunataka viongozi vijana wazee wameshapitwa na wakati.Atagombea kupitia chama gani,CCK? au ataanzisha chake?
Hana maana kabisa, tumemwambia atoke CCM tumuunge mkona hataki. Tukimpata mwingine asije kutuomba ushirikiano baadaye