Hana akili! angekuwa mjanja angepigania kuwepo kwa mgombea binafsi, sasa anafikiri atapitia wapi? Kwa hicho chama chake hawampitishi. Akisumbua sana ataondolewa kwa zengwe lile lile la zamu ya kina mama na Asha Migiro atasimamishwa. Labda arudi CCJ.
wewe ndo huna akili timamu bila sitta vita ya ufidadi ingejulikana kama leo,siyo sitta aliyezima mjadala wa ufisadi bali ni bunge la jamhuri,hivyo unataka kumanisha sitta alikuwa na nguvu kuliko bunge lenye watu zaidi ya 300,soma mambo na uyaelewe,soma nafasi ya spika bungeni na nguvu ya bunge ndo uje na mawazo yako haya ya kijimaHana ubavu! Akiwa Spika wa bunge hakututendea haki hata kidogo! aliuzima mjadala wa Richmond kidikteta, je alihongwa ahadi ya kugombea Urahisi 2015? huyu mtu ni hatari sana!
wewe ndo umetumwa kuukana ukweli kuhusu mzee sitta,ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyetumikia serikali bila kashfs yoyote ,hizo unazoleta niza kuokoteleza majalalaniSamuel Sitta ni mtu ambaye ameitumikia serikali ya CCM zaidi ya nusu ya Umri wake wote, na yeye alikuwa mwanamtandao.Inasikitisha sana watu kuhadaiwa eti Sitta anapinga ufisadi, Sitta anatumia neno ufisadi kwa maslahi ya kisisiasa na pia kuwachafua wapinzani wake kisiasa. Si ndo huyu Sitta alipopata nafasi ya kuwa kiongozi wa serikali bungeni povu lilimtoka kuwashambulia na kuwadharilisha wapinzani,na kuitetea serikali na chama kwa kuviita "waadilifu" na wasikivu? mnaomshabia huyu gamba opportunist ni vema muangalie na mtathmini misimamo yenu ya kisisiasa.
wewe ndo huna akili timamu bila sitta vita ya ufidadi ingejulikana kama leo,siyo sitta aliyezima mjadala wa ufisadi bali ni bunge la jamhuri,hivyo unataka kumanisha sitta alikuwa na nguvu kuliko bunge lenye watu zaidi ya 300,soma mambo na uyaelewe,soma nafasi ya spika bungeni na nguvu ya bunge ndo uje na mawazo yako haya ya kijima
unatumiwa vibaya na hao mafisadi,tumia akili kutadhimini mambo,vinginevyo mitizamo yako itakuozea kichwani bila kupata wa kuinunua,muulize baba yako amelifanyia nini taifa letu ukilinganisha na mzee sitta,kwanza yawezekana hajausaidia hata mtaa mnaoishi,unapata wapi wewe ujasiri wa kuukana ukweli kuhusu mh sitta.Samuel Sitta ni mtu ambaye ameitumikia serikali ya CCM zaidi ya nusu ya Umri wake wote, na yeye alikuwa mwanamtandao.Inasikitisha sana watu kuhadaiwa eti Sitta anapinga ufisadi, Sitta anatumia neno ufisadi kwa maslahi ya kisisiasa na pia kuwachafua wapinzani wake kisiasa. Si ndo huyu Sitta alipopata nafasi ya kuwa kiongozi wa serikali bungeni povu lilimtoka kuwashambulia na kuwadharilisha wapinzani,na kuitetea serikali na chama kwa kuviita "waadilifu" na wasikivu? mnaomshabia huyu gamba opportunist ni vema muangalie na mtathmini misimamo yenu ya kisisiasa.
bora huyu anayepambana na fisadi kubwa hapa nchini,tunamtaka mtu aliyena ujasili kama wa sitta hata kama si sitta kwa jina ila awe mtu mwenye uthubutu kama sitta na vinginevyo,hata hivyo hata kama si slaa ila tunamtaka mtu mwenye uthubutu kama slaa,unafikria kazi iko wapi,sisi kama taifa tunahitaji mtu mwadilifu na mchapa kazi.Sitta sie muasisi wa vita ya ufisadi, muasisi ni Dr Slaa, Sitta hapingi ufisadi bali anapambana na Lowasa Urais 2015 period!
MY TAKE:
Kwa Changamoto za leo ambayo Nchi Yetu inazo, bado Mh. Samuel Sitta hana uwezo wa kuleta mageuzi ya Kimaendeleo katika Tanzania. Alipata mafasi kamili kama Kiongozi wa moja Mhimili kamili wa Kikatiba kama Spika wa Bunge kusimamia kuondoa uovu kikamilifu pamoja na Ufisadi Mwingine lakini akaamua kukumbatia uovu kuinusuru serikali yake ya CCM.
Japo anaweza kuwa anakubalika na baadhi, Mzee Sitta hawezi kuwa udhubutu wa kutupa Tanzania tunayoiota, na hata huko Wizara ya Afrika ya Mashariki bado hatujaziona cheche zozote.
Sitta sie muasisi wa vita ya ufisadi, muasisi ni Dr Slaa, Sitta hapingi ufisadi bali anapambana na Lowasa Urais 2015 period!
Haaaa haaa Mkuu wangu mimi niko poa kabisa ndo kwanza nimetia timu DSM.
Mkuu mbona mimi nakufahamu miaka sana na wala sina issue na wewe kabisa. Napenda tu unavyosimamia hoja unazoziamini.
Kama uko Bongo, let us meet in one of the days. Naona AshaDii kule kishawafunga kamba wengi.
Niaje habari ya Sitta kuweka hadharani nia yake ya kuwa kuishi makazi ya sasa ya Baba Mwana-Asha?