SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!

Wewe hayakuhusu na hauna unalolijua kumbe we unategemea watu waseme kama we una uwezo lete report full ya hospitali ya appolo hapa si kunyofoa vipande vya wenzio. Kichwa yako imejaa maji.
 
kuna watu makauzu Tz,mtu yupo tayari kuharibu utu wake hata familia yake kwa mlo wa masaa machache tu
 
Wewe hayakuhusu na hauna unalolijua kumbe we unategemea watu waseme kama we una uwezo lete report full ya hospitali ya appolo hapa si kunyofoa vipande vya wenzio. Kichwa yako imejaa maji.
Mkuu kichwa yake ipi iliyojaa maji, ya juu au ya chini???
 
nina hakika kuwa hujaisoma taarifa yote ya mwakyembe,,, ungesoma usingeleta hoja nyepesi kama hii kwa kuconsider mistari michache katika taarifa ya mh mwakyembe... usikurupuke mkuu dig up
 
nini kilichomuumbua au kaumbukaje?
 
Na mwenye Ushahid wa kulishwa sumu na auweke hapa! Mna hasira sana mlitaka mwakyembe aseme kalishwa sumu?
Soon you will realize that Mweshimiwa aliyekuwa spika wa bunge lililopita alikurupuka! and all those who are behind this false propaganda will fail.
 
huyu anastahili kuitwa Nge, Kiazi ni jina zuri sana kwake
Inakera sana jitu zima linatuchafuria hali ya hewa jumapili hii wakati taifa zima limezizima huku likitafakari nchi inapoelekea baada ya hii taarifa ya Mhe. Mwakyembe. Shame on JK na Serikali yake. Sijui ni nini tumewakosea hata tufanyiwe mambo haya. Inauma saaana kiongozi.Kosa letu ni nn???tuambiwe basi ili tujirekebishe kuliko kufanyiwa haya na viongozi waliopewa dhamana na wananchi kutuongoza.
 
Kubali tu kuwa leo mtu mzima umejamba mawazo hadharani. Hoja yako haina mashiko na sana sana unaonekana mchawi tu na mtu mwenye uelewa mdogo unaokufanya ushindwe kuchambua mambo mazito kama haya.
 
Jitahidi kijana. Usijifungie ndani ya chupa. Unatakiwa ukazane kufahamu mambo mengi zaidi ya hayo. Vinginevyo utaendelea kujificha ndani ya jina la bandia.
 
....hajakanusha aliyoyasema Sitta, kaumbuka vipi hapo!?
 
nina hakika kuwa hujaisoma taarifa yote ya mwakyembe,,, ungesoma usingeleta hoja nyepesi kama hii kwa kuconsider mistari michache katika taarifa ya mh mwakyembe... usikurupuke mkuu dig up

Ni suala la wapi unaegemea. Usimlaumu huyu kijana kwani humjui ni nani. Inawezekana amekotoka kambi ya waathirika wa vita vya ufisadi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…