kakakuona40
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 300
- 52
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.
Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha

Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!
Umetumwa na nani wewe
Kaka mazingira tu ya tukio ni ushahidi tosha.Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!
Taarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo
"taarifa halisi ya Apollo ambayo inatamka wazi kuwa kuna kitu kwenye bone marrow kinachochochea hali niliyonayo, kitu ambacho mabingwa wanahangaikia kukidhibiti/ kukiondoa"
Kwa kiswahili rahisi kabisa ni kwamba bado madaktari hawajagundua chanzo cha tatizo alilonalo mwanyembena wala mwakyembe hajathibitisha kulishwa sumu tofauti na SITTA anavyotaka wananchi waamini kwamba mwakyembe alilishwa sumu, huu ni ushahidi wa siasa za maji taka za mweshimiwa samweli sitta.
Mytake: Tujihadhari na taarifa za uzushi zisizo na uthibitishoi wa kutosha
Wewe unaqualify kuitwa kiazi, wapi huelewi kuwa humo kwenye bone marrow hakujaingizwa mawe???au unataka uelezwe nini ili ujue kuwa humo ndani kuna kitu kisichokuwa cha kawaida??au wewe sumu unaitafsiri vipi kwa akili yako finyu???Nyinyi ndo viazi mnaoliangamiza taifa hili kwa kuwashauri viongoz wapuuzi kuendesha huu ******.Uletewe ushahid ww km nani??Kwann mnataka mletewe ushahid badala ya kutafuta wenu??upuuz kabisa. Kweli jitu zima na tambi lake ka mfuko wa mbolea linasimama mbele ya waandishi wa habari na kuutangazia umma kuwa limefanya uchunguzi kwa umakin mkubwa wakati hata body samples za mgonjwa halijachukua wala kufanya nae interview. What the hell is this. Kusoma taarifa ya Appolo ndio huo uchunguzi makin???kwanza taarifa yenyewe imechakachuliwa. Shenzi kabisa. Mimi nadhani linapokuja suala la uhai wa mtu hebu tuwe serious, huwezi kuja na hoja kipumbavu tu na kudhani wote ni wapuuzi kama ww. Jueni kuwa hapa duniani wote tunapita tu. Msijisahau na kujigeuza miungu watu.Ipo siku nanyi homegoing itawahusu tu.Kwa uongo aliouweka kwenye vyombo vya habari< tuleteeni ushahidi wa mwakyembe kupewa sumu!
soma taharifa yake vizuriTaarifa ya mwakyembe kutoka kwenye vyombo vya habari ikinukuu taarifa toka hospitali ya appollo