Sitta atoa wito kwa vijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta atoa wito kwa vijana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sir R, May 28, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Waziri wa A. Mashariki Samwel Sitta ametoa wito kwa vijana kuunda vikundi vya kusimamia utawala bora katika maeneo yao wanaoishi.
  Spource ; ITV
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Nimemsikiliza vizuri ila uyu mzee kuna kitu anataka kusema maana yeye kashikilia ufisadi mpaka basi. Ni msimamo mzuri licha ya kupigwa mkwara na k/kuu ya ccm bado anaendeleza,apa ana ujumbe mzito. Pia kasema hata mgao wa sasa wa umeme umeletwa na mafisadi. Namkumbusha 6 akemee na mauaji ya kikatili ya maaskari wa Tanzania!
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Maneno hayo hata house wife anaweza kuyatoa. Hebu nenda mbele kidogo ili yaweze kuleta maana kwa mtu mwenye position kama ya Sitta.
  .
   
 4. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Sitta ukimwangalia vizuri utagundua kuwa ana hofu kubwa, hivyo anajaribu kutafuta support ya wananchi kimya kimya.

  Ngoja tumsubiri
   
 5. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ccm ni chama chd wez.. nae ni mwanachama, kwaiyo nae atakuwa ni mwiz...
   
 6. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa sheria ya nchni gani? Hao vijana watafanya kazi kwa mwamvuli wa chombo kipi?

  Labda kama ana maadana Chadema wafungue mashina wengi nchni nzima na kila kona maana naona ndio wamevalia nguja hili swala la maadili ya viongozi.
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  na akishindwa kuwashawishi raia,ccm wakiamua kumnasa naomba wakiamua kumnyanganya kadi kamwe asije cdm maana atakuwa anakidhi haja ya kisiasa. Akija huku baada ya kufukuzwa ,kamwe sitamwita mpiganaji!
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Waziri wa afrika mashairiki akiongelea Utawala bora na VIjana . Kazi ipo........
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Lazima awe na hofu kwani anajaribu kumtafuna mwanaye anayempenda-yeye ndiye aliyempokea RICHMond wakati akiwa bosi wa TIC na yeye ndiye aliye shadadia maofisa wengine wawajibishwe lazima ahofu reaction yao.
   
 10. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi Samwel Sita ni Magamba kweli au ni jina tu, manaake jinsi anavoongea sidhani. Kuna walakini kidogo.
   
Loading...