matamauruke
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 348
- 211
Kama unadhani Ccm wana shukurani umekosea sana. Hivi unajua Ccm walivyomtumia kuchakachua maoni ya wananchi ktk bunge la katiba? Unakumbuka madai kwamba marehemu walipiga kura akiwemo mamake Zitto? Unakumbuka alitumia kila njia mpaka mahujaji waliokuwa Saudia walipiga kura?
Sasa angalia mshahara wake, ametimuliwa nyumba ya serikali baada ya serikali kukataa kumlipia pango! Alikuwa analipiwa dola 8000 kwa mwaka. Amehamia Manzese!
Chanzo: Majira
CC: Dr Tulia, Makonda na IGP Mangu
Anahangaika mahakamani nyuma ya wapiga kurahivi yule mzee wa kick boxer yuko wapi?
Kama chadema walichomfanyia Slaa,Kama unadhani Ccm wana shukurani umekosea sana. Hivi unajua Ccm walivyomtumia kuchakachua maoni ya wananchi ktk bunge la katiba? Unakumbuka madai kwamba marehemu walipiga kura akiwemo mamake Zitto? Unakumbuka alitumia kila njia mpaka mahujaji waliokuwa Saudia walipiga kura?
Sasa angalia mshahara wake, ametimuliwa nyumba ya serikali baada ya serikali kukataa kumlipia pango! Alikuwa analipiwa dola 8000 kwa mwaka. Amehamia Manzese!
Chanzo: Majira
CC: Dr Tulia, Makonda na IGP Mangu
Nimecheka sana hii umeandikaEndeleeni kumponda mzee Sitta ila msisahau kuwa JPM anapitia JF kama mwongozo wake maalumu. Akiziona comments zenu atashtuka kumbe aliwatwanga! Msijeshangaa akipewa bonge la post.
Kama chadema walichomfanyia Slaa,
Nahisi watanzania tutakuwa na tatizo kubwa zaidi, yaani mtu anataka tutumie pesa za serikali kulipa fadhila mtu ambaye alitekeleza majukumu yake na kulipwa kwa wakati huo.
Kama unadhani Ccm wana shukurani umekosea sana. Hivi unajua Ccm walivyomtumia kuchakachua maoni ya wananchi ktk bunge la katiba? Unakumbuka madai kwamba marehemu walipiga kura akiwemo mamake Zitto? Unakumbuka alitumia kila njia mpaka mahujaji waliokuwa Saudia walipiga kura?
Sasa angalia mshahara wake, ametimuliwa nyumba ya serikali baada ya serikali kukataa kumlipia pango! Alikuwa analipiwa dola 8000 kwa mwaka. Amehamia Manzese!
Chanzo: Majira
CC: Dr Tulia, Makonda na IGP Mangu
Chadema iliuzwa kwa billion 10slaa amefanywaje na CHADEMA? Kwani slaa si aliondoka yeye mwenyewe kwa ridhaa yake?
Kuna Leo na kesho! Acha wajue kuwa inatakiwa tuwatumikie wananchi na si chama.Kama unadhani Ccm wana shukurani umekosea sana. Hivi unajua Ccm walivyomtumia kuchakachua maoni ya wananchi ktk bunge la katiba? Unakumbuka madai kwamba marehemu walipiga kura akiwemo mamake Zitto? Unakumbuka alitumia kila njia mpaka mahujaji waliokuwa Saudia walipiga kura?