Sitta asema Wapinzani wana hoja muhimu,wasikilizwe!!

Sitta asema Wapinzani wana hoja muhimu,wasikilizwe!!

Kikwete hawezi saini hilo dili lililovurugika.
lazima asaini na kwanini asisain? kwaajili ya wapuuzi wachache wanafki, wazinzi wakubwa na macho kumchuzi? acheni ujinga mnataka auludishe bungeni ili mtoke tena? huwo mda ukowapi nyie wanafiki wanasiasa feki?
 
Ndo leo unagutuka kuwa wapinzani wana hoja??? EPA, Richmond na Merameta hakuziona hoja??? CDM baba lao
 
waziri wa afrika mahariki samwel sitta amesma kuwa wapinzani wana hoja nzito na wasikilizwe! Akizungumza kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria ya katiba mpya alisema kuwa hata wachache wasikilzwe ikiwa hoja yao ni ya msingi!

Source; radio free afrika.

amesoma saa ya ukutani , ila nakanusha kwamba tuko wachache , si kweli , tuko wengi kuliko wao !
 
Chadema ni waganga njaa ,je jiulize ikipata madaraka ,,unafikiria maisha yatakuwa easy
 
Sitta ni mtu mwenye msimamo anaongea ukweli bila woga ndio maana kuna watu hawampendi huu ndio ukweli hongera unafaa kuwa rais wa tz kwani unaweka maslahi ya taifa mbele chama nyuma
 
Waziri wa Afrika Mahariki Samwel Sitta amesma kuwa wapinzani wana hoja nzito na wasikilizwe! Akizungumza kuhusu Muswada wa marekebisho ya Sheria ya katiba mpya alisema kuwa hata wachache wasikilzwe ikiwa hoja yao ni ya msingi!

Source; Radio Free Afrika.

CC: Job Ndugai, Matias Chikawe, Lukuvi Bill, Werema Mtani
 
Ndio tatizo hapa JF, uelewa wa logic ni mdogo, na wengi wanapost kama utani.

Kujadili mtu badala ya hoja, ni kosa katika Logic linalojulikana kama Argumentum ad hominem.

Unaelewa hapa jf ndio kioo cha jamii ya kitanzania.Ukionacho humu ndio taswira halisi ya watanzania.Mimi sishangai kwa hoja kama hizi za kujadili mtoa hoja badala ya hoja yenyewe,kwani tabia hii inatokana na mfumo wa elimu yetu unaotoa 'vichwa hivi'na ukitaka kuchoka uliza level zao,wengi ama ni graduates ama undergraduates kutoka vyuo tena 'vinavyoheshimiwa' tu hapa nchini,inasikitisha sana.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyu mzee ni mnafki hakuna mfanowe!
Tuulizeni watu wa Urambo tunamjua fika siasa zake ni za nsika sana
 
Back
Top Bottom