Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
- Thread starter
- #21
Si ahamie upinzani nae ajengewe barabara.!!
Hahahahaah! nimeipenda hii.
Si ahamie upinzani nae ajengewe barabara.!!
Labda alikuwa anamaanisha barabara za mkoa (regional roads), si barabara kuu (trunk roads)Igunga na Nzega ipo mkoa gani?
Igunga na Nzega ipo mkoa gani?
Si ahamie upinzani nae ajengewe barabara.!!
Inaelekea wapinzani wapo kwa ajili ya watanzania na ccm wapo kwa ajili ya matumbo yao
Huu mkoa unahitaji ukombozi -- kazi hii amepewa Mh. Zitto Zuberi kabwe kuwakomboa wanyamwezi!! -
Hint kwa Zitto juu ya kuwakomboa wanyamwezi ki fikra:
Ni vigumu mno kumbadilisha mnyamwezi mtazamo wake hata kama haufanyi kazi; na ni vigumu pia ukamshawishi akaamini kitu kipya; kiasili ni muoga kubadilika; lakini endapo utafanikiwa basi hawezi kurudi nyumba tena na atakuwa mfuasi wako hadi milele.
Kumbadilisha mnyamwei tumia mbinu hizi
a) Kumwakikishia usalama wake sababu hapendi bugudha
b) Jaribu kumpa mifano hai ingawa itachukua muda mwingi akuelewe
c) Jabiru ku-challenge na kutoa ufafanuzi wa hali halisi ya kiuchumi ya mkoa huu ukigusia hasa zao lao wanalotegemea la Tumbaku; Uvunaji wa Asali na Mbao za mninga linavyochangia pato la kaya, kijiji, kata na kuendelea hadi mkoa
d) Elezea sera ya Majimbo; muundo wa uongozi na madaraka katika kutatua matatizo ya kiuchumi na kijamii yanayoukabiri mkoa huu vs mfumo wa sasa
kazi njema Mh Zitto -- tunahitaji msaada wako.
kwani maisha bora ni lami? Kadhalika wakajifunze kwa upinzani namna ya kukenga hoja ili wasikilizwe. Najiuliza waliwezaje kupata huo uwakilishi
CCM imewatelekeza wapiga kura kila mbunge wa ccm yuko busy kulimbikiza mali kwasababu wameshasadiki kuwa 2015 ccm bye bye na CHADEMA inatwaa serikali rasmi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyu Mama, alimaanisha Tabora kutokuwa na lami kwa maana ya Makao makuu ya Mkoa kuunganisha na Wilaya zake:
Tabora - Igunga, hakuna barabara ya lami,
Tabora - Nzega, hakuna barabara ya lami,
Tabora - Sikonge, hakuna barabara ya lami,
Tabora - Uyui, hakuna barabara ya lami,
Tabora - Urambo, hakuna barabara ya lami,
Tabora - Kaliua (via Urambo), hakuna barabara ya lami.
Ni wilaya mbili tu, Igunga na Nzega, zilizounganishwa kwa lami!
Na bado wataweweseka sana na kusahau hata Igunga iko wapi. Huyu mama kaishachoka anasubiri pension yake tu.:msela::msela::msela::msela::msela::msela::rain::rain::rain::rain::rain:
Na bado wataweweseka sana na kusahau hata Igunga iko wapi. Huyu mama kaishachoka anasubiri pension yake tu.:msela::msela::msela::msela::msela::msela::rain::rain::rain::rain::rain: