Sitta ajiunga CHADEMA

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Huku hali ikiwa si shwari ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) aliyekuwa spika wa bunge la tisa na waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki mh. Samuel Sitta inasemekana amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Kwa mujibu wa taarifa ambazo hata hivyo bado hazijathibitishwa na muhusika kutoka kwa chanzo cha habari cha kimataifa mheshimiwa huyo amesema kwamba lengo lake kuu ni kutetea maslahi ya wananchi bila kuwa na wasiwasi wa kuambiwa eti anakikosoa chama nje ya vikao. Walipopigiwa simu Dr. Slaa na Mh.Mbowe walishindwa kutoa maelezo ya moja kwa moja ila walisema tu wapo katika kikao kizito na watalizungumza hilo baada ya kikao hicho. Kuna mwenye uhakika na taarifa hii kwa undani, atujuze zaidi.:mmph:
 
yale yalee ya april fools, good daiii
 
Today is 1st April,a fool's day-lakini ndiyo ili iweje sasa??
 
Yaani kwa hizi posts hata aliekua amesahau siku ya leo na saa.... anakumbuka tu.............
 
I hate this day.
Naipenda sana JF kwa Breaking news za ukweli.
Inapokuja siku hii sipata raha coz nimezoea kuamini breaking news za JF.
Leo inabidi nijipe kalikizo kakuingia JF.
 
NI KWELI SITTA AMEJIUNGA CHADEMA KIMAWAZO TENA SIKU NYINGI SIO LEO SIKU YA WAJINGA ,ANAKUBALIANA KABISA NA SERA NA MAWAZO YA CHADEMA KWA UJUMLA HUU SIO UTANI ILA NI UKWELI KUWA KIMOYO,KIMAWAZO,KIUTENDAJI NA KIAKILI SITTA SAMWELI YUKO CHADEMA ILA KITUMBO TUU NDIO YUKO CCM

kwa ajili ya kuganga njaa ndio maana yuko CCM
 
Back
Top Bottom