Sitta afanya maajabu ya karne

usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu

Kwahiyo tukubali uendesha taifa kwa ungese wa Sitta na mabwege wenzake?
 
Hicho king'ang'anizi ndizo kitanzi chao katika uchaguzi wa 2015.

Bahati mbaya watanzania huwa tunasahau haraka sana. Pamoja na kuvurunda kwote bado CCM watapeta kama hakuna baya lolote walilolifanya...hii issue ingewacost kwenye uchaguzi wa local government lakini mambo yatakuwa tofauti. ...
 
Hiyo akidi imepatikanaje?.

Nalia na ukawa.kama kuna majasiri wamejitokeza na kupiga kura ya wazi tena ya hapana,vipi ukawa wangekuwepo na kupiga debe kura ya hapana?ni dhahiri hata kuchakachua ingeshindikana.
 
tumeonaa
 
Tumeshuhudia wenzetu wakijaribu kwenda hata mwezini na sasa Mars (mf. India) kwa kutegemea nguvu za siasa, je kwa siasa zetu hizi kweli tutaweza hata kutengeneza ngalawa ya kwenda Zanzibar bila kutegemea wafadhili!?
 

Wananchi wataburuzwa tu.
 
Viongozi wa nchi hii ni wa ajabu kweli...sasa hawa wajumbe wa BMK wanafurahia utadhani ndiyo mwisho wa mchakato na Katiba mpya imeshapatikana hiyo waliyoipanga wao.....hii inaonyesha kwamba kitu walichokopitisha wao ndiyo hicho hata kama wananchi hawakitaki.....kweli Watanzani ni wapole cjui hao hatujui haki zetu......
 
usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu

Kwa akili yako (kama unayo) unaona Taifa hili linaendeshwa kwa fact? Wooote tulio na akili tunajua kwamba kinachotumika ni hisia na nadhalia ktk taifa; Kwamba sisi ni wajamaa. kwamba sisi ni wazalendo. kwamba kiswahili ni lugha bora sana! Kwamba hiyo ni katiba bora sana.

Unaweza ukatumia mtu mwizi kuwa m/kiti wa kamati ya uandishi halafu upate katiba bora? Nonsense!
 
Kwa akili ya 6 anaweza kufanya haya lakn wajue twawasubiri huku mtaaani tuwakimbize na katiba ya ya CCM
 
usiongee kitu km huna uhakika. sijaona fact wala evidence yoyote zaidi ya hisia zako binafsi. tusikubali kuendesha Taifa kwa hisia na majungu
Mkuu una lingine? fuatilia mwenyewe mimi matokeo nimeyapata leo saa kumi alfajiri!!
 
Jana usiku Sitta alifanya vituko kama chizi yani hadi nikawa namshangaa!! Kwa kweli Sitta kwa nilivyomuona usiku ule "anavuta bangi"

Chezea kutimiliza 2/3
 
tatizo la watanganyika kutwa kulalamika mitandaoni lakini mkiambiwa mkadai haki yenu mnaanza tilalila. CCM wamepata katiba yao lkn watanzania mnaenda kuipigia kura hivi mnaakili kweli?

Hii katiba sitta kalazimisha ili asiumbuke ila ipo cku atajuta. Nawaomben watanganyika tuoneshe moyo wa uzalendo 2dai katiba yetu.
 
mkuu kama wameweza kuchakachua mchana kweupe namna hii watashindwa vp kuchakachua kura za maoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…