Sitosahau siku niliyotaka kufa kiwandani

Mara nyingi hizo kazi za kutumia nguvu mazingira si salama sana ni vile tu mtu unakuwa huna namna nyingine. Imagine uliumia kiasi hicho na hakuna hata huduma yeyote uliyopatiwa, hakika una kila sababu ya kumshukuru Mungu.
kabisa mkuu sema nimeamini kama Mungu amepanga uondoke siku fulani utaondoka tu na kama hajapanga kuondoka huwezi kuondoka
 
Back
Top Bottom