Sitosahau siku niliyotaka kufa kiwandani

Ilikuwa mapema mwaka jana nilipitia kipindi kigumu sana baada ya kuyumba kiuchumi na degree yangu mkononi ikanilazimu kujizima data na kutafuta kazi yoyote iwe rasmi au isiwe rasmi. Nikazama zangu JF ndipo nikapata muongozo wa kwenda kiwanda cha unga kwa kurubuniwa kwamba kwa siku malipo inafika hadi buku 8, nikajipa moyo..

Basi nikafata tafatibu zote siku ya pili nikaenda na barua ya mtendaji then nikaambiwa siku ya pili usiku nikaanze kazi. Basi bwana nikazama zangu pale mida ya saa 1 jioni nikawakuta wenzangu wapo tayari wanasubiri kuanza kazi. Wakagawa msosi pale ndani kila mtu sahani ya wali(upo kama makande) na maharage na ndizi mbivu. Kwa kuwa ni siku ya kwanza nikawa na uoga uoga wa kula ule msosi na niliogopa kuja kukatwa kwenye malipo. Jamaa wakawa wananishangaa huyu msela vipi huu msosi ni lazima kuchukua haijalishi unataka au hutaki. Basi kuna jamaa akasema chukua nipe mm nitakula,wakawa wanagombania nipe mimi nipe mimi. Basi nikachukua ule msosi nikampa jamaa mmoja akala na wa kwake.

Kimbembe kilianza baada ya masaa mawili viroba vilipoanza kushuka toka kwenye vinu vinashuka kama mvua na vinu vipo vya kutosha mule ndani. Ili kusubiria viwe vingi ndio kazi ianze wale jamaa wakasema tuchezeni boli humu ndani(mpira wa makaratasi). Basi tukagawana huku na huku tukaanza kucheza mpira.Katika harakati za kuucheza ule mpira nikajibamiza vibaya sana kwenye kinu kipo kama upinde halafu kule mbele kama wembe kwa makali yake. Ghafla bin vuu nikajikuta nipo chini nimezungukwa na watu kibao damu zinavuja kama kuku katoka kuchinjwa..Aisee nilijua leo ndio siku yangu siwezi kutoboa maana nilipasuka katikati ya kichwa. Wakaniinua pale sina hata nguvu wakasema nikapumzike pale kazi inataka kuanza.Nilishindwa coz damu zilikuwa zinavuja sana kuna jamaa akanielekeza bafu akasema nikaoge ili niwe sawa.

Nilijivuta nikaenda kuoga kule bafuni maji yote yalijaa damu tu yani ili siku ilikuwa ndio bye bye sema Mungu hakupanga tu. Nikarudi kule ndani jamaa ndio wanagawana watu kwa makundi waanze kazi. Cha ajabu na mimi nikaitwa nikapangiwa kundi nibebe viroba.Nikawaeleza siko sawa damu zinavuja sana lakini hakuna aliyeelewa. Wakasema humu ndani ni lazima kila mtu afanye kazi. Kazi ikaanza nikaambiwa na mm nibebe kichwani zile kilo 25 kwa 50 yena viwili trip moja. Ilikuwa ngumu sana kubeba lakini sikuwa na jinsi nikajaribu tripu moja nakashindwa kichwa kilikuwa kinauma sana. Wakanibadilisha section wakasema niwe nawapakia watu kichwani wenyewe wanaita kijiko,yani unabeba viroba viwili pale chini na kumpa mtu kichwani.Nimefanya mara moja tu kuna jamaa akanigusa pale kichwani na kiroba basi damu zikaanza upya kutoka nikaamua kuacha nikasema liwalo na liwe cha kufia nini.

Basi nikatoka pale nikaenda nje kukaa toka ile saa 4 mpaka saa 12 asubuhi jamaa wanabeba tu vile viroba. Walikuwa kama 30 hivi lakini viroba walivyobeba ni zaidi ya 6,000 yani kila mmoja kama mia 2 hivi. Asubuhi ya saa 1 tukaitwa wote kwenye mgao wa pesa. Kaja kiongozi wao akasema leo kazi hamna hivyo kila mtu atapata elfu 2, aisee nilichoka mwili na akili yani kazi yote ile mtu alipwe elfu 2. Kuna watu walikuwa wanapinga mm kupewa ile elfu 2 kisa sijafanya kazi. Sema jamaa akanipa ile buku 2 akasema ukatibiwe. Nimetoka pale naona kama ndoto nikarudi zangu geto ile pesa nikafanya nauli sikubakiwa hata na senti..

Nimefika home kichwa chote kimeloa damu na nimepasuka vibaya sana. Sikuwa na pesa hivyo nikachukua chumvi na beseni nikaanza kujisafisha huku nikipata maumivu makali sana.Sikwenda kabisa hospitali hadi leo hii na nilipona kwa uwezo wa Mungu baada ya mwezi kupita.

Nashukuru hivi sasa nipo sehemu nzuri japo sio sana ila sio kama mwanzo.Leo nilipita ile njia ya kiwandani nikakumbuka kuleta kisa hiki

JE,NI KISA GANI KILITAKA KUTOA UHAI WAKO HUTOKISAHAU!!
View attachment 2484018
Pole aiseh me nakumbuka nikiwa std 5 nilijigogenzza sehem kidogo tu kumbe misumari umenichana kisogoni. Nkaenda living room kukaa nkawa nahisi nasweat sana kumbe midamu imetilikika ww hadi basi.

Nikawa nmesinzia kabisa kweny kochi sister anakuja ananikuta na midamu mgongo mzima.
Akampgia mama sim ety kuna mtu amenichinja nipo sebuleni nmekufa mama alitoka kazini peku kanikuta majirani washaniamsha nmesafishwa.
 
umenichekesh mkuu,,ila pole sana ndio maisha yalivyo
 
Yani ulipasuka kichwa kwa juu na kutokwa na damu nyingi na ukapona bila matibabu ya kihospiltali yani ulijikandakanda tu duuh
 
Ilikuwa mapema mwaka jana nilipitia kipindi kigumu sana baada ya kuyumba kiuchumi na degree yangu mkononi ikanilazimu kujizima data na kutafuta kazi yoyote iwe rasmi au isiwe rasmi. Nikazama zangu JF ndipo nikapata muongozo wa kwenda kiwanda cha unga kwa kurubuniwa kwamba kwa siku malipo inafika hadi buku 8, nikajipa moyo..

Basi nikafata tafatibu zote siku ya pili nikaenda na barua ya mtendaji then nikaambiwa siku ya pili usiku nikaanze kazi. Basi bwana nikazama zangu pale mida ya saa 1 jioni nikawakuta wenzangu wapo tayari wanasubiri kuanza kazi. Wakagawa msosi pale ndani kila mtu sahani ya wali(upo kama makande) na maharage na ndizi mbivu. Kwa kuwa ni siku ya kwanza nikawa na uoga uoga wa kula ule msosi na niliogopa kuja kukatwa kwenye malipo. Jamaa wakawa wananishangaa huyu msela vipi huu msosi ni lazima kuchukua haijalishi unataka au hutaki. Basi kuna jamaa akasema chukua nipe mm nitakula,wakawa wanagombania nipe mimi nipe mimi. Basi nikachukua ule msosi nikampa jamaa mmoja akala na wa kwake.

Kimbembe kilianza baada ya masaa mawili viroba vilipoanza kushuka toka kwenye vinu vinashuka kama mvua na vinu vipo vya kutosha mule ndani. Ili kusubiria viwe vingi ndio kazi ianze wale jamaa wakasema tuchezeni boli humu ndani(mpira wa makaratasi). Basi tukagawana huku na huku tukaanza kucheza mpira.Katika harakati za kuucheza ule mpira nikajibamiza vibaya sana kwenye kinu kipo kama upinde halafu kule mbele kama wembe kwa makali yake. Ghafla bin vuu nikajikuta nipo chini nimezungukwa na watu kibao damu zinavuja kama kuku katoka kuchinjwa..Aisee nilijua leo ndio siku yangu siwezi kutoboa maana nilipasuka katikati ya kichwa. Wakaniinua pale sina hata nguvu wakasema nikapumzike pale kazi inataka kuanza.Nilishindwa coz damu zilikuwa zinavuja sana kuna jamaa akanielekeza bafu akasema nikaoge ili niwe sawa.

Nilijivuta nikaenda kuoga kule bafuni maji yote yalijaa damu tu yani ili siku ilikuwa ndio bye bye sema Mungu hakupanga tu. Nikarudi kule ndani jamaa ndio wanagawana watu kwa makundi waanze kazi. Cha ajabu na mimi nikaitwa nikapangiwa kundi nibebe viroba.Nikawaeleza siko sawa damu zinavuja sana lakini hakuna aliyeelewa. Wakasema humu ndani ni lazima kila mtu afanye kazi. Kazi ikaanza nikaambiwa na mm nibebe kichwani zile kilo 25 kwa 50 yena viwili trip moja. Ilikuwa ngumu sana kubeba lakini sikuwa na jinsi nikajaribu tripu moja nakashindwa kichwa kilikuwa kinauma sana. Wakanibadilisha section wakasema niwe nawapakia watu kichwani wenyewe wanaita kijiko,yani unabeba viroba viwili pale chini na kumpa mtu kichwani.Nimefanya mara moja tu kuna jamaa akanigusa pale kichwani na kiroba basi damu zikaanza upya kutoka nikaamua kuacha nikasema liwalo na liwe cha kufia nini.

Basi nikatoka pale nikaenda nje kukaa toka ile saa 4 mpaka saa 12 asubuhi jamaa wanabeba tu vile viroba. Walikuwa kama 30 hivi lakini viroba walivyobeba ni zaidi ya 6,000 yani kila mmoja kama mia 2 hivi. Asubuhi ya saa 1 tukaitwa wote kwenye mgao wa pesa. Kaja kiongozi wao akasema leo kazi hamna hivyo kila mtu atapata elfu 2, aisee nilichoka mwili na akili yani kazi yote ile mtu alipwe elfu 2. Kuna watu walikuwa wanapinga mm kupewa ile elfu 2 kisa sijafanya kazi. Sema jamaa akanipa ile buku 2 akasema ukatibiwe. Nimetoka pale naona kama ndoto nikarudi zangu geto ile pesa nikafanya nauli sikubakiwa hata na senti..

Nimefika home kichwa chote kimeloa damu na nimepasuka vibaya sana. Sikuwa na pesa hivyo nikachukua chumvi na beseni nikaanza kujisafisha huku nikipata maumivu makali sana.Sikwenda kabisa hospitali hadi leo hii na nilipona kwa uwezo wa Mungu baada ya mwezi kupita.

Nashukuru hivi sasa nipo sehemu nzuri japo sio sana ila sio kama mwanzo.Leo nilipita ile njia ya kiwandani nikakumbuka kuleta kisa hiki

JE,NI KISA GANI KILITAKA KUTOA UHAI WAKO HUTOKISAHAU!!
View attachment 2484018
Pole sana kwa yaliyo kukuta ,, Sasa wewe na degree yako hujui sheria wala kanuni na talatibu za kiwanda, laboratory, au workshop, Na hukujua ni jinsi gani unahatarisha maisha yako, kwakutokwa na damu nyingi bila msahada na bado ukaendelea na kazi..
 
Mungu yupo nasi kila tunapopita na tunapokanyaga,bila yeye nisingekuepo hadi leo hii
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta ,, Sasa wewe na degree yako hujui sheria wala kanuni na talatibu za kiwanda, laboratory, au workshop, Na hukujua ni jinsi gani unahatarisha maisha yako, kwakutokwa na damu nyingi bila msahada na bado ukaendelea na kazi..
mkuu ile scenario ilikua kama ndoto nisingeweza kufanya chochote zaidi ya kuomba Mungu anitoe mahala pale salama.
 
Ilikuwa mapema mwaka jana nilipitia kipindi kigumu sana baada ya kuyumba kiuchumi na degree yangu mkononi ikanilazimu kujizima data na kutafuta kazi yoyote iwe rasmi au isiwe rasmi. Nikazama zangu JF ndipo nikapata muongozo wa kwenda kiwanda cha unga kwa kurubuniwa kwamba kwa siku malipo inafika hadi buku 8, nikajipa moyo..

Basi nikafata tafatibu zote siku ya pili nikaenda na barua ya mtendaji then nikaambiwa siku ya pili usiku nikaanze kazi. Basi bwana nikazama zangu pale mida ya saa 1 jioni nikawakuta wenzangu wapo tayari wanasubiri kuanza kazi. Wakagawa msosi pale ndani kila mtu sahani ya wali(upo kama makande) na maharage na ndizi mbivu. Kwa kuwa ni siku ya kwanza nikawa na uoga uoga wa kula ule msosi na niliogopa kuja kukatwa kwenye malipo. Jamaa wakawa wananishangaa huyu msela vipi huu msosi ni lazima kuchukua haijalishi unataka au hutaki. Basi kuna jamaa akasema chukua nipe mm nitakula,wakawa wanagombania nipe mimi nipe mimi. Basi nikachukua ule msosi nikampa jamaa mmoja akala na wa kwake.

Kimbembe kilianza baada ya masaa mawili viroba vilipoanza kushuka toka kwenye vinu vinashuka kama mvua na vinu vipo vya kutosha mule ndani. Ili kusubiria viwe vingi ndio kazi ianze wale jamaa wakasema tuchezeni boli humu ndani(mpira wa makaratasi). Basi tukagawana huku na huku tukaanza kucheza mpira.Katika harakati za kuucheza ule mpira nikajibamiza vibaya sana kwenye kinu kipo kama upinde halafu kule mbele kama wembe kwa makali yake. Ghafla bin vuu nikajikuta nipo chini nimezungukwa na watu kibao damu zinavuja kama kuku katoka kuchinjwa..Aisee nilijua leo ndio siku yangu siwezi kutoboa maana nilipasuka katikati ya kichwa. Wakaniinua pale sina hata nguvu wakasema nikapumzike pale kazi inataka kuanza.Nilishindwa coz damu zilikuwa zinavuja sana kuna jamaa akanielekeza bafu akasema nikaoge ili niwe sawa.

Nilijivuta nikaenda kuoga kule bafuni maji yote yalijaa damu tu yani ili siku ilikuwa ndio bye bye sema Mungu hakupanga tu. Nikarudi kule ndani jamaa ndio wanagawana watu kwa makundi waanze kazi. Cha ajabu na mimi nikaitwa nikapangiwa kundi nibebe viroba.Nikawaeleza siko sawa damu zinavuja sana lakini hakuna aliyeelewa. Wakasema humu ndani ni lazima kila mtu afanye kazi. Kazi ikaanza nikaambiwa na mm nibebe kichwani zile kilo 25 kwa 50 yena viwili trip moja. Ilikuwa ngumu sana kubeba lakini sikuwa na jinsi nikajaribu tripu moja nakashindwa kichwa kilikuwa kinauma sana. Wakanibadilisha section wakasema niwe nawapakia watu kichwani wenyewe wanaita kijiko,yani unabeba viroba viwili pale chini na kumpa mtu kichwani.Nimefanya mara moja tu kuna jamaa akanigusa pale kichwani na kiroba basi damu zikaanza upya kutoka nikaamua kuacha nikasema liwalo na liwe cha kufia nini.

Basi nikatoka pale nikaenda nje kukaa toka ile saa 4 mpaka saa 12 asubuhi jamaa wanabeba tu vile viroba. Walikuwa kama 30 hivi lakini viroba walivyobeba ni zaidi ya 6,000 yani kila mmoja kama mia 2 hivi. Asubuhi ya saa 1 tukaitwa wote kwenye mgao wa pesa. Kaja kiongozi wao akasema leo kazi hamna hivyo kila mtu atapata elfu 2, aisee nilichoka mwili na akili yani kazi yote ile mtu alipwe elfu 2. Kuna watu walikuwa wanapinga mm kupewa ile elfu 2 kisa sijafanya kazi. Sema jamaa akanipa ile buku 2 akasema ukatibiwe. Nimetoka pale naona kama ndoto nikarudi zangu geto ile pesa nikafanya nauli sikubakiwa hata na senti..

Nimefika home kichwa chote kimeloa damu na nimepasuka vibaya sana. Sikuwa na pesa hivyo nikachukua chumvi na beseni nikaanza kujisafisha huku nikipata maumivu makali sana.Sikwenda kabisa hospitali hadi leo hii na nilipona kwa uwezo wa Mungu baada ya mwezi kupita.

Nashukuru hivi sasa nipo sehemu nzuri japo sio sana ila sio kama mwanzo.Leo nilipita ile njia ya kiwandani nikakumbuka kuleta kisa hiki

JE,NI KISA GANI KILITAKA KUTOA UHAI WAKO HUTOKISAHAU!!
View attachment 2484018
Sijasoma mpak mwisho nimesisimka sana na huruma nyingi MNO zimenijaa...
Kuna mtu hapa kaniona nilivyo hamaki all in all pole sana ndugu yangu
 
Pole kwa kusisimka mkuu.,,asante ndivyo maisha yalivyo
Sikua nimejiandaa kisaikolojia kusoma hii touching story.....
For sure nimeshindwa kabisa kuendelea kuisoma maana nimehisi kama NDIO Mimi...
Hope unaendeleaje vyema
 
Acha tu mkuu sikwenda hata hospital kipindi kile umepita mwaka sasa nilipona kwa nguvu za Mungu tu
 
Back
Top Bottom