Sitosahau nilivyoumbuka airport

Sitosahau nilivyoumbuka airport

Kuumbuka ni watu kunishangaa maana alarm ilikua inapiga mlio kwangu tu image unarudisha upange folen ya watu 20 zaid ya mara nne
Inawezekana kabisa hii ni story ya kutunga au umesikia mtu anasimulia ukaidaka bila kujua undani wake. Kama una kitu chochote kinacho-trigger alarm, kwa uzoefu wangu huambiwi rudi kapange tena foleni bali unawekwa pembeni na ''tatizo'' lako linajaribu kutatuliwa hapo kwa hapo chini ya uangalizi wa wakaguzi. Anaweza akatokea mkaguzi akaanza kukuuliza una nini mfukoni, toa mkanda, toa viatu etc. Kiusalama watakuwa wamefanya kosa la kijinga sana ''kukupa'' muda kwa kukuambia rudi, ukapange foleni upya.
 
Aliekusimulia ungemwambia akuelezee vizuri.
Kitendo tu cha alarm kulia watu wakushangae kama gaidi ni uongo .Alarm kulia pale ni kitu cha kawaida ata kifungo tu cha suruali yako kama ni cha chuma kinaweza kutrigger alarm
 
Inawezekana kabisa hii ni story ya kutunga au umesikia mtu anasimulia ukaidaka bila kujua undani wake. Kama una kitu chochote kinacho-trigger alarm, kwa uzoefu wangu huambiwi rudi kapange tena foleni bali unawekwa pembeni na ''tatizo'' lako linajaribu kutatuliwa hapo kwa hapo chini ya uangalizi wa wakaguzi. Anaweza akatokea mkaguzi akaanza kukuuliza una nini mfukoni, toa mkanda, toa viatu etc. Kiusalama watakuwa wamefanya kosa la kijinga sana ''kukupa'' muda kwa kukuambia rudi, ukapange foleni upya.
Waliniambia ila walikia wananiuliza una nini cha chuma najibu pesa naambiwa weka hapa kwenye chombo ukapange folen k7mbe mkanda nimesahau mara viatu pia kuna chuma ni story ya kweli mzee tatizo mionekano yetu mingine ni ya kiaskofu huwez kua na shaka hata ukinikuta chumban kwako na mkeo we are very inocent
 
Basi walifanya makosa. Walitakiwa kukuongoza kwa usahihi. Pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom