Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Hahaaaaa bwabwa lilikuwa lina washwa hivi ni lazima mukomeshane kwa hicho kitendo si bora fine ya hela
Mimi pia siwaelewi, mimi nikimfumania mwanamke wangu, wahusika siwafanyi chochote
Hiyo inakuwa tiketi ya kuachana
 
Ww itakuwa ni tabia yako ukakubali kbs kuwapa ushirikiano mtu aliekutafuna?!...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahhahaha, jamaa alikuwa na genye balaa za watu zaidi ya mmoja
 
Duuh...! Wewe ni kiboko. Kwanza tu story yako kadri nilivyokuwa naendelea kuisoma mapigo ya moyo yangu yalikuwa yanienda kasi,kama nilikuwa naomba kikombe hicho kikuepuke. Halafu kweli bado unaendelea kuchat nae mtu kama huyo kweli? Unajua kitu ambacho kingekupata? “Kifo lakini baada ya kupitishwa mzigo”. Sasa huyo mwanamke alishakuua bado unataka akufufue tena?,una roho ngumu
 
Ni kweli had kwenda kwa mwingine means hakupendi ya nini kulipiza mtu mwishowe ufungwe miaka 30
Mimi pia siwaelewi, mimi nikimfumania mwanamke wangu, wahusika siwafanyi chochote
Hiyo inakuwa tiketi ya kuachana
 
Jamaa alikua anatembea na mke wa mtu. Mume wake akamuwekea mtego siku moja lakini akashtukia mchezo akahama chumba alichokuwa na mke wa jamaa.

Sema sijajua alinusurika vipi kuliwa jicho maana hamna sehemu kaongelea alinusurika vipi kuliwa jicho zaidi ya kusema alinusurika kufumaniwa live
Aliesoma yote anisaidie kufupisha story
 
Dah umefanya hasty generalization japo nakubaliana na wewe wanaume wote hawawezi kuwa wakamilifu na ndio mana kuna wengine wanatembea na wake na wapenzi wa rafiki zao ila bado naona si sawa kwa pande zote ke na me..hata kumla mpenzi tu wa rafiki yako si sawa basi tu siku hzi ishakuwa kawaida tu na imeonekana ni mtindo wa maisha wa kawaida
 
Mimi kuwekewa nguvu na mtu sitaki kama sio mume wangu. Atakaekuja kuwa na nguvu na mimi ni mume tu hawa wengine watimize wajibu wajitulize. Mambo ya mtu kujifanya anataka kuniown hali mi sio mkewe sientertain kabisa
Aaahgh " mzigua acha masihara " inategemea hao watu/? mtu uliye nae amewekeza nguvu zake kwa kiasi gani kwako .... kuna watu tumeshawahuhudia wakipatwa na mabalaa kwakutoka na mademu wa watu tu ..achilia mbali wake za watu
 
Mimi nawashangaa sana ujue, kipi cha ajabu? Mtu kaelezea kwa masikitiko hadi nimemuonea huruma
Kama angekuwa mwanaume hiyo ni grave secret. Ila inaonekana ameupenda mchezo ndio maana anatangazia watu wapande dau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…