Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 982
Na ningekukamata siku ile ungekoma alafu kumbe bado unawasiliana na wife
Maomivu ya kuku nani anabeba?Ulichinja kuku kumshukuru Mungu?
Kisa cha alladin na taa ya Maajabu.Katika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada
Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu primary na sekondari tukiwa darasa moja, na mahusiano yetu yalianza tukiwa kidato cha kwanza, demu alinisaidia sana kuepukana na kile chama pendwa cha Chaputa mpaka namaliza sekondari,ijapokuwa nilikuwa na show nyingine za nje lakini huyu hatukuwahi kuachana mpaka tunamaliza
Tulikuja kupotezana mara baada ya kumaliza sekondari, kila mtu aliendelea na masomo na mimi baada ya kumaliza elimu ya chuo nikapangiwa kwenye mkoa mmoja, baada ya miaka 5 nikahamia mkoa ambao ndipo tukaja kukutana, na yeye akaniambia ana familia 2 na ni mwajiriwa wa idara fulani kwenye local government. Ikabidi tuachiane contacts ili baadae tuwasiliane, katika kuendelea kuwasiliana akaniambia mume wake ni mtumishi wa jeshi la wananchi kikosi cha huduma.
Katika kuendelea kuchati binti alionyesha nia ya nguvu ya kutaka kupasha kiporo ,kitu ambacho sikuwa tayari mwanzoni. Lakini siku zilivyokuwa zinaenda nikashawishika kula mzigo,na tukawa tunafanya hivyo. Sasa kuna siku moja aliwahi niambia mume wake ameonyesha hisia ya kwamba mali yake inaibiwa, nikaanza kuwa na hofu kumbe alikuwa ametuwekea mtego, na mimi bila kujua.
Mpaka leo naendelea kuamini ule mtego lazima mwanamke alinisaliti kwa sababu mwanamke mara zote tulipokuwa tunakutana yeye ndiye alikuwa anatangulia gest na ananipa taarifa njoo chumba namba fulani.
Sasa siku hiyo nimefika eneo la tukio nikashtuka kukutana sura ambazo nilizitilia shaka lakini nikapotezea, nikapitia receiption nikasabahi nikaingia ndani, nilipofika room nikamkuta mama amesaula amelala, machale yakanicheza nikatoka nje nikamwambia mhudumu atubadilishie chumba akanipa funguo nyingine nikaenda room nikamwambia mama hiki chumba kina hewa nzito tuhame akawa anagoma,nikamzoa kwa nguvu tukahamia chumba cha mwishoni kabisa.lakini nikaona utofauti fulani kama vile mama hakulidhika, halafu story zikawa nyingi wakati mimi nataka tuanze game yeye anasema subiri tuongee kwanza. Kitu ambacho kilisaidia ni mara tu tulipohamia chumba kile simu zote yake na yangu zilikuwa mezani.mara nikasikia sauti za wanaume wakimlazimisha mhudumu afungua kile chumba tukichohama, huku mhudumu akigoma kwamba hawezi kwani wao sio wateja, baada ya kumtisha mhudumu akawapa sharti kama mnayemtaka hayupo msinisumbue tena, mhudumu akawafungulia na chumba kilikuwa hakina mtu, sasa wakawa wanamlazimisha afungue na vingine mhudumu akakataa na bahati nzuri wageni 2 waliokuwa vyumba vya pembeni wakatoka wakawaambie wale wakaka 4 wawe wastaarabu , kama vipi waende polisi ndio waje wafungue vyumba vingine na sio wao.jamaa wakagoma kwa kuona kwamba wakienda polis lengo lao halitatimia . Kipindi hicho chote tumekaa tu kitandani na binti ananiambia mume wangu huyo, shauri yako, halafu anaomba kutoka,akawa kama amepagawa flani hivi.nikamwambia marafuku ,nikamlaza kitandani nikamlalia juu ili kuhakikisha hata akipiga kelele hazisikiki.wakati huo simu yake nimeshazima mdaa.baadae wakaondoka kwa maelezo ya mhudumu kwamba hao watu wanao watafuta ni kweli walifika ila hawakukaa wameondoka walisema hawajaridhika na mazingira. Jamaa wakasepa, baada kama ya nusu robo saa mhudumu akaja kuniambia wameondoka tunaweza kuondoka. Wakati nafungua mlango ili niondoke akawa ananivuta mkono akijidai anataka gemu kwa maelezo anajua kwamba hiyo ndiyo mwisho wetu. Nikagoma nikaondoka nikamwacha yeye akijiandaa kuondoka, wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake amwambie tena chumba alichokuwepo.
Mpaka leo sitasahu hilo tukio, ijapokuwa mpaka kesho bado tunamawasiliano na huwa namuuliza kwa nini alifanya vile huwa ananiambia kwamba alibanwa sana na ili asalimishe ndoa yake ilibidi lazima afanye hivyo, lakini alimhakikishia kwamba hatanidhuru ndio maana akakubali kula njama.
Hawa wanawake tuwaone tu, wakiamua kukugeuka wanageuka mara moja tu wakibanwa .kama na wewe umewahi kutana na mazingira kama hayo karibu tushare experience ni wapi nilikosea, kwa sababu pamoja na kunusurika bado naendelea na huo mchezo lakini siku hizi nakuwa makini sana.
Actually ulifanya makosa mengi Tena makubwa sana, why unakubali mwanamke awe kiungozi wa mambo yote, yaan hata guest na chumba aandae yy...!!
Kuhusu kutokukudhuru ni uwongo kabisa, haiezeni kidume aandae jemba 4 kwa yako then washinde kufanya kitu mbaya kwako.
But all in all shukuru sana uamuzi wako wa kuchange chumba & God aliamua tu kukulinda
Hili ndilo tatizo linalonisumbua...Mkuu Jack HD: hkna cha vaseline mimi nikiingia nae room2 nahakikisha Glock g17 ipo full reload ninapogongewa mlango na hao mafirauni wajiandae na wao kupelea UNYAMA UNYAMANI na wake za watu ni watam asikwambie mtu alaf cha ajabu hatuwatongozi wanatushobokea wao
Nimekusikia dadangu... Ila nikijikuta (nimejisahau) nipo katika situation hiyo, patachimbika...
Kuna jambo lipo hawa wake wa wanajeshi,yupo mmoja she was a friend bck enzi za AHivi wake wa wanajeshi huwa wana matatizo gani???
Hahaha huyo nae alipinda kwelisasa demu ameachika au bado yuko na jamaa?...kuna jamaa walimfumania ili wamtoe marinda ...akainama mwenyewe na mafuta akawapa akawaambia ,marinda yalishatoka siku nyingi....hakuna haja ya vurugu namtaka huyo mme mwenzangu aanze halafu wengine mje mmojammoja....jamaa mashine zikalala
Mkuu punguza ukali wa maneno basi aah tuna watoto humKuna jambo lipo hawa wake wa wanajeshi,yupo mmoja she was a friend bck enzi za A
O level,moyo umegoma kbs kumla lakn kila kukicha ni kunisumbua nimtombe na mumewe ni afsa mkubwa tu sijui nini anakosa huko kwa mumewe
Mkuu punguza ukali wa maneno basi aah tuna watoto hum


wadau wa MMU ni 18+ mtt humu anafata nnwadau wa MMU ni 18+ mtt humu anafata nn
Na ningekukamata siku ile ungekoma alafu kumbe bado unawasiliana na wife

Uko na demu, kabla hujampanga ni guest gani mtaenda kufanya mautundu yenu.. Chukuwa simu yake kisha zima kabisa.. Hapo ndo unaanza kumpanga site zp mtokezeeakili zao unazijua lakini????sometimes hata ukichagua chumba wewe...kuna mademu wakiingia room huwa wanajifanya hawataki haraka..hiivyo wanakuwa wanachat kwenye simu na stori za hapa na pale na ukimgusa anakuambia haraka ya nini na mimi niko hapa kwa ajili yako...kumbe anawastua jamaa
Mzee akirudi tu Unamwambia baba naomba kasuuze huo mwiko na mimi nahitaji kupikiaHivi mwanamke anapoomba mchezo anaanzaje yani nataka nipate shule kidogo
Mzeebakirudi tu Unamwambia baba naomba kasuuze huo mwiko na mimi nahitaji kupikia