Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Hahaaaaa bwabwa lilikuwa lina washwa hivi ni lazima mukomeshane kwa hicho kitendo si bora fine ya hela
Mwanaume ukitaka thamani yake ishuke duniani na mbinguni basi afumuliwe marindaa tuuna ndio adhabu kubwa kwa mwanamme lijali.
 
Mie nilifumaniwa nikakamatwa na midume mitatu yenye nguvu ikaanza kunipaka mafuta nyuma ile jamaa wa kwanza anamaliza kuvua nguo aanze kunifumua marinda mala ghafla ndoto yangu ikaishia hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15]
 
Hahaaaaa na mtafumuliwa tu msipo acha wake za watu. Adhabu nyingine jamani hapana mimi ni ke hyo adhabu inanichefua sana
Mwanaume ukitaka thamani yake ishuke duniani na mbinguni basi afumuliwe marindaa tuuna ndio adhabu kubwa kwa mwanamme lijali.
 
Una bahati sana, acha huo mchezo na kama huwezi kuacha tafuta wasio na waume.
 
Hahahahahaaaahhhahh
 
Wewe kufumaniwa ni kubaya unakuwa mdogo ka piritoni na ukute mke kashatoa siri kunusuru ndoa yake. Wanao enda mafumanizi nao hubeba bastola ujue. Siku wakiku time itakola kwako tena utapata kipondo kwanza kwanini u risk maisha yako
Nimekusikia dadangu... Ila nikijikuta (nimejisahau) nipo katika situation hiyo, patachimbika...
 
Sawa kabisa...

Tatizo watu wanazembea huku wakijua impact yake...
 
Duh..pole sana mkuu ila huwa husikii "kukereketwa" (kuwashwawashwa) huko nyuma?
 
Mshikaji anadai alifanya vile ili asikuze mambo ikawa aibu kwake mkuu
 
Kuna story nilisimuliwa na mtu mmoja kuwa kuna sehemu kuna mgodi wa dhahabu panaitwa Kakola kuna jamaa alipata taarifa kuwa mkewe anatafunwa na njemba moja hivi mnunuzi wa dhahabu ana vihela sasa jamaa akapewa mchoro wote
Siku ya tukio aliaga kuwa anasafiri lakini akarudi usiku kwa siri ili afumanie lakini cha ajabu alipoingia ndani na kumfuma mgoni wake akiwa na mkewe uchi wa mnyama ghafla mgoni alichomoa bastora na kumtishia mwenye mke akatulia kama kuku aliyemwagiwa maji ya baridi.!
Jamaa likamwambia amemkata stimu kwa kuingilia starehe zake hivyo likamwamlisha ainame limpige pumbu jamaa mbele ya bastora ilibidi ainame apigwe mboo mbele ya mkewe na mkewe kaliwa!
 
Mbele ya manati kutoka Czech Republic lzma mtu aliwe jicho sbbu ile cyo penga jombaa kwamba utaicha, hpa utawasikia ningekua mimi wa kwenye mtandao
 
Hahahaha, sasa mkewe aliliwa mbele au nyuma.
 
mkikutana na wake za watu hakikisha unakikopo cha vaseline pembeni
Mkuu Jack HD: hkna cha vaseline mimi nikiingia nae room2 nahakikisha Glock g17 ipo full reload ninapogongewa mlango na hao mafirauni wajiandae na wao kupelea UNYAMA UNYAMANI na wake za watu ni watam asikwambie mtu alaf cha ajabu hatuwatongozi wanatushobokea wao
 
Hahaha haha dunia imeisha,kwahiyo jamaa aliona njemba kumtongoza mtaani hawataki akaamua ajipangie fumanizi
Fala sana yule jamaa mm nilipo gundua kuwa niyeye aliye kuwa anatuma SMS sikuweza kuunganisha doti nikabaki najiuliza hadi jamaa walio mfumua malinda walipo nipigia kunuambia jamaa ni ***** ndiyo nikajua mchezo .wale jamaa waliniambia pia kuwa jamaa alikua amejichora tatuu imeandikwa SORRY GIRL I LOVE BOY nilichoka pia kumbe jamaa alimwambia Demu wangu kuwa anatatizo la nguvu za kiume eti ana kisukari hiyo waende gest kufanya romance tu likawa linampa hela sh 35000 Kwa kufanya romance wakati likinilengesha nilifumanie hayo niliyakuta kwenye SMS ya Simu zao
 
Kwa hiyo alikuwa anamnunua demu wako
 
Naushamba wangu Mke wa mtu naogopa kweli sijui nimerithi ufala wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…