She loves Me
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 809
- 940
Whaaat
Nmecheka kifala aseee
![]()
Nmecheka kifala aseee
![]()
Hahahaha eti wanalalamika wamekula bwabwa....Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa

Mkuu huyo jamaa na njemba wenzake wasingekuacha salama rinda nilazima lingetatuliwa tena bila kinga na wangekuachia kilema kwa kipigo cha mbwa koko au kifo kabisa , watu huwa mnajitaftia matatizo wewe unajua kabisa huyu ni mke wa mtu ila bado unapeleka pua zako hapo , mi ningefurahi kama wangeshughulikia ili iwe fundisho kwa wengineKatika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada
Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu primary na sekondari tukiwa darasa moja, na mahusiano yetu yalianza tukiwa kidato cha kwanza, demu alinisaidia sana kuepukana na kile chama pendwa cha Chaputa mpaka namaliza sekondari,ijapokuwa nilikuwa na show nyingine za nje lakini huyu hatukuwahi kuachana mpaka tunamaliza
Tulikuja kupotezana mara baada ya kumaliza sekondari, kila mtu aliendelea na masomo na mimi baada ya kumaliza elimu ya chuo nikapangiwa kwenye mkoa mmoja, baada ya miaka 5 nikahamia mkoa ambao ndipo tukaja kukutana, na yeye akaniambia ana familia 2 na ni mwajiriwa wa idara fulani kwenye local government. Ikabidi tuachiane contacts ili baadae tuwasiliane, katika kuendelea kuwasiliana akaniambia mume wake ni mtumishi wa jeshi la wananchi kikosi cha huduma.
Katika kuendelea kuchati binti alionyesha nia ya nguvu ya kutaka kupasha kiporo ,kitu ambacho sikuwa tayari mwanzoni. Lakini siku zilivyokuwa zinaenda nikashawishika kula mzigo,na tukawa tunafanya hivyo. Sasa kuna siku moja aliwahi niambia mume wake ameonyesha hisia ya kwamba mali yake inaibiwa, nikaanza kuwa na hofu kumbe alikuwa ametuwekea mtego, na mimi bila kujua.
Mpaka leo naendelea kuamini ule mtego lazima mwanamke alinisaliti kwa sababu mwanamke mara zote tulipokuwa tunakutana yeye ndiye alikuwa anatangulia gest na ananipa taarifa njoo chumba namba fulani.
Sasa siku hiyo nimefika eneo la tukio nikashtuka kukutana sura ambazo nilizitilia shaka lakini nikapotezea, nikapitia receiption nikasabahi nikaingia ndani, nilipofika room nikamkuta mama amesaula amelala, machale yakanicheza nikatoka nje nikamwambia mhudumu atubadilishie chumba akanipa funguo nyingine nikaenda room nikamwambia mama hiki chumba kina hewa nzito tuhame akawa anagoma,nikamzoa kwa nguvu tukahamia chumba cha mwishoni kabisa.lakini nikaona utofauti fulani kama vile mama hakulidhika, halafu story zikawa nyingi wakati mimi nataka tuanze game yeye anasema subiri tuongee kwanza. Kitu ambacho kilisaidia ni mara tu tulipohamia chumba kile simu zote yake na yangu zilikuwa mezani.mara nikasikia sauti za wanaume wakimlazimisha mhudumu afungua kile chumba tukichohama, huku mhudumu akigoma kwamba hawezi kwani wao sio wateja, baada ya kumtisha mhudumu akawapa sharti kama mnayemtaka hayupo msinisumbue tena, mhudumu akawafungulia na chumba kilikuwa hakina mtu, sasa wakawa wanamlazimisha afungue na vingine mhudumu akakataa na bahati nzuri wageni 2 waliokuwa vyumba vya pembeni wakatoka wakawaambie wale wakaka 4 wawe wastaarabu , kama vipi waende polisi ndio waje wafungue vyumba vingine na sio wao.jamaa wakagoma kwa kuona kwamba wakienda polis lengo lao halitatimia . Kipindi hicho chote tumekaa tu kitandani na binti ananiambia mume wangu huyo, shauri yako, halafu anaomba kutoka,akawa kama amepagawa flani hivi.nikamwambia marafuku ,nikamlaza kitandani nikamlalia juu ili kuhakikisha hata akipiga kelele hazisikiki.wakati huo simu yake nimeshazima mdaa.baadae wakaondoka kwa maelezo ya mhudumu kwamba hao watu wanao watafuta ni kweli walifika ila hawakukaa wameondoka walisema hawajaridhika na mazingira. Jamaa wakasepa, baada kama ya nusu robo saa mhudumu akaja kuniambia wameondoka tunaweza kuondoka. Wakati nafungua mlango ili niondoke akawa ananivuta mkono akijidai anataka gemu kwa maelezo anajua kwamba hiyo ndiyo mwisho wetu. Nikagoma nikaondoka nikamwacha yeye akijiandaa kuondoka, wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake amwambie tena chumba alichokuwepo.
Mpaka leo sitasahu hilo tukio, ijapokuwa mpaka kesho bado tunamawasiliano na huwa namuuliza kwa nini alifanya vile huwa ananiambia kwamba alibanwa sana na ili asalimishe ndoa yake ilibidi lazima afanye hivyo, lakini alimhakikishia kwamba hatanidhuru ndio maana akakubali kula njama.
Hawa wanawake tuwaone tu, wakiamua kukugeuka wanageuka mara moja tu wakibanwa .kama na wewe umewahi kutana na mazingira kama hayo karibu tushare experience ni wapi nilikosea, kwa sababu pamoja na kunusurika bado naendelea na huo mchezo lakini siku hizi nakuwa makini sana.
Hii michezo ina wenyewe... Kulala na mke wa mtu ni kama kufanya exchange ya madawa ya kulevya...
Pick eneo mwenyewe. Mchukue na gari, zunguka naye kuhakikisha hamna anayekufuata, then zama kwenye hotel uliyoichagua bila yeye kujua.
Kumbuka ni vizuri uwe unafahamiana na mhudumu ili awe anakuchekia ramani ukiwa kazini.
Jitahidi kutokurudia lodge katika mfululizo mmoja.
Mwisho, usimwamini huyo mwanamke na sim yake.
Nitatoa somo siku moja.
1. Paragraph ya pili kutoka mwisho imeelezea kifupi. Ndo maana nikasema ntatoa somo.Vipi ka mumewe ka hack simu yake na a nafatilia mawasiliano call had location. Ukikutana na mfatiliaji wafwa marinda yako
Ww c ndo yule wa kimoko chali tulia sindano zinakupata kweli toka juzi unalia lia demu wako kafumuliwa, badala uongeze ufundi ndani kwako kunako 6x6 unaona jf ndo dawa, kwa taarifa yako utachapiwa sanaKwanini hawakukuchoma moto shetani mkubwa wewe?
Siku yaja na ndio utajua ukuu wa MUNGU.
1. Paragraph ya pili kutoka mwisho imeelezea kifupi. Ndo maana nikasema ntatoa somo.
2. Sina tatizo na kufa au kuua, hivyo ntakufa kwanza kabla hawajanishika. Au ntakuwa nimewaua.
3. Nikizungumzia uhalisia, binafsi, im paranoid, mguu wa kuku ni kama sim yangu.
Mkuu The Dark Father :mimi nina mwaka na nusu nakula mke wa mtu lkn nilichokifanya mimi mara baada ya kupatana nae kimapenzi niliweka sharti 1,kua hakuna mawasiliano yoyote ya cm baina yetu nikitaka kumgegeda namfata kwa mda ninao jua mimi na kupanga nae mpango face to face wala hkna mshenga baina yetu, alaf sehem nitakapo kutana nae inakua tofauti na nitakapoenda kumgegedea, yani mpka hatua ya mwisho simwambii kua tunaenda wapi, ukisoma vzr hpo jamaa alivyonasa kwenye mtego ni cm ndo zinawaponza mimi natumia falsafa ya bwana Osama bin Laden ya kua - - - IF YOU LIVE LIKE YOU IN THE PAST THE FUTURE WILL NEVER FIND YOUHii michezo ina wenyewe... Kulala na mke wa mtu ni kama kufanya exchange ya madawa ya kulevya...
Pick eneo mwenyewe. Mchukue na gari, zunguka naye kuhakikisha hamna anayekufuata, then zama kwenye hotel uliyoichagua bila yeye kujua.
Kumbuka ni vizuri uwe unafahamiana na mhudumu ili awe anakuchekia ramani ukiwa kazini.
Jitahidi kutokurudia lodge katika mfululizo mmoja.
Mwisho, usimwamini huyo mwanamke na sim yake.
Nitatoa somo siku moja.
kama angekuwa ameingia room na maziwa isingekuwa na shida.Mkiambiwaga mke wa mtu sumu muwe mnaelewa.