Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Nakubaliana na wewe mkuu kivipi tena aungane na wabaya wake aliogopa nini kupimwa ili ukweli ujulikane
 
Mimi kuwekewa nguvu na mtu sitaki kama sio mume wangu. Atakaekuja kuwa na nguvu na mimi ni mume tu hawa wengine watimize wajibu wajitulize. Mambo ya mtu kujifanya anataka kuniown hali mi sio mkewe sientertain kabisa
Kwahio mpenzi wangu hutaki attachment hata kama mtu yupo serious na umempenda?
 
Hahaaaaa kwao kwenu kuchepuka sawa, mi najua ukichepuka na mkeo Ana chepuka loh
Mkuu acha kabisa kuchapiwa inauma sana, hasa ukifikiria vile unawafanya wake za watu, mpaka wanaamua kuchepuka
 
Wapo wanaume wanadate dada mtu mdogo mtu had mama mtu hao Wana style hyo adhabu na isambazwe tu.
Hvi hawa watu wapo kweli na kama wapo basi wanastahili adhabu kali mungu mwenyewe ndio atawapangia aisee
 
Yani mwanaume nimpende bado aninyanyue kiuchumi halafu nimcheat si nitakua na mapepo sasa. Maana sitakua na sababu ya kuliwa nje na siku akinidaka namcheat atakachonifanya itakua halali yake hata kama hajanioa
This is what i expected to hear, Congratulations u stand a better chance beib!
 
Ahahahahahah..Duh pole sanaa mzee..vya watu havifai baba..achana navyo
 
Hvi hawa watu wapo kweli na kama wapo basi wanastahili adhabu kali mungu mwenyewe ndio atawapangia aisee
Wanafanya kwa siri na ni mila mkuu ya baadhi ya watu. Kuna wanaume wakware aliwahi fukuzia na mdogo wangu ingekuwa tamaa, ingekula kwetu.
 
Watu mnaroho ngumu, yaani unajua huyu ni Mke wa mtu bado unamtaka tu? Mkuu kila wasichana watano,mvulani mmoja so why uende kwa mke mtu?
 
Mie nilifumaniwa nikakamatwa na midume mitatu yenye nguvu ikaanza kunipaka mafuta nyuma ile jamaa wa kwanza anamaliza kuvua nguo aanze kunifumua marinda mala ghafla ndoto yangu ikaishia hapo!
😳😳😳 hiyo ndoto hapana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…