Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,779
- 61,440
- Thread starter
-
- #21
Wazee wetu walifanikiwa kwenye hili, kwa sababu walikuwa wanalima na kufuga; ila kwa kizazi chetu inakuwa ngumu kwa sababu kuanzia mchicha mpaka yai tunanunuaFamilia zenyewe tunaishi chini ya Dola Moja na elimu bure wala hukongoroki...weka vitu
Ni kweli Mungu ametuagiza "tuzaliane na kuongezeka" lakini si kwa uholela. Inatakiwa tuzaliane na kuongezeka kwa utaratibu na si hovyo hovyo. Tuzae watoto tutakaoweza kuwalea na kuwapa matunzo bora- malazi,mavazi chakula, elimu, n.kTunatakiwa tuijaze dunia, ''nendeni duniani mkazaliane na muongezeke''; tunatakiwa tuipendezeshe dunia kwa watu, chata yako.
Ni kweli Mungu ametuagiza "tuzaliane na kuongezeka" lakini si kwa uholela. Inatakiwa tuzaliane na kuongezeka kwa utaratibu na si hovyo hovyo. Tunaendelea watoto tutakaoweza kuwalea na kuwapa matunzo bora- malazi,mavazi chakula, elimu, n.k
Hamna kilichoharibika, wazazi walikuwa wakulima we ni mfanyakazi....Acha uoga piga photocopy hizo😅Wazee wetu walifanikiwa kwenye hili, kwa sababu walikuwa wanalima na kufuga; ila kwa kizazi chetu inakuwa ngumu kwa sababu kuanzia mchicha mpaka yai tunanunua
Mwisho wa siku ilikuwaje?Haya yaliwah kunikuta,michepuko yangu miwili ikapata mimba kwa mpigo kichwa kiliwaka moto
Wa kwanza tulijichanganya tarehe,wa pili nilimpatia p2 baada ya tendo sjui hakunywa baada ya mwez ananiambia kanasa
Inabidi kutafuta mapori ya kulima kwa wingi; muhimu kwanza wapate uhakika wa chakula kutoka shambani na si sokoni.Hamna kilichohabrika, wazazi walikuwa wakulima we ni mfanyakazi....Acha uoga piga photocopy hizo😅
Bahati nzur niliwashawish kutoa na wakakubali,ila mmoja ilimsumbua sana kutokaMwisho wa siku ilikuwaje?
Ukifikia uzee, utawakumbuka hao watoto 😀😀Bahati nzur niliwashawish kutoa na wakakubali,ila mmoja ilimsumbua sana kutoka
Mpaka sasa wanawake sina hamu nao,nawaangalia tu na kuwala kwa macho
Watoto ninaoUkifikia uzee, utawakumbuka hao watoto 😀😀
Wanatakiwa wawe wengi, huwa inapendeza sana, na kama wanakuwa na msingi mzuri, uzee wako utaufurahia sanaWatoto ninao
Tanzania na mapori tena!mbona ndio penyewe,mapori Hadi ya akiba yapo..usife na mbegu kiunoni aiseeInabidi kutafuta mapori ya kulima kwa wingi; muhimu kwanza wapate uhakika wa chakula kutoka shambani na si sokoni.
Sawa, acha tuendelee kuwapatia bure tu bila tozo 😀 😀Tanzania na mapori tena!mbona ndio penyewe,mapori Hadi ya akiba yapo..usife na mbegu kiunoni aisee
Tatzo msingi mzuri,wakiwa wengi watakosaWanatakiwa wawe wengi, huwa inapendeza sana, na kama wanakuwa na msingi mzuri, uzee wako utaufurahia sana
Tatzo msingi mzuri,wakiwa wengi watakosa
Kumbuka ndege, wanyama hawana uzazi wa mpango na wanaishiNyege mbaya sana ,utavuna ulichopanda
Wote walizaa ama,Haya yaliwah kunikuta,michepuko yangu miwili ikapata mimba kwa mpigo kichwa kiliwaka moto
Wa kwanza tulijichanganya tarehe,wa pili nilimpatia p2 baada ya tendo sjui hakunywa baada ya mwez ananiambia kanasa
Sahv wanawake nawaogopa mno,nimeamua kubaki njia kuu
Mwezi ujao nakuja kupandikiza hapo kwako 😀 😀Unaongeza single maza tu mtaani [emoji57]