Sitongozi tena

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,338
Reaction score
56,039
Dakika 20 zilizopita, nimepokea simu kutoka kwa pisi kali moja matata iliyokuwa inanizungua huko nyuma kwenye ule uzi 'nimeutua mzigo mzito', ananiambia amefanya leo vipimo ana ujauzito wangu, wa mwezi mmoja.

Baada ya kupata taarifa hiyo, nikajua kinachofuata hapa ni kujiandaa kwa malezi, kibaya zaidi kuna mchepuko mwingine ana ujauzito wangu wa miezi mitatu; na wote wameamua kulea mpaka kuja kujifungua.

Binafsi, nipo njia panda, najua hapa majukumu yanaongezeka; kwa hiyo mkiniona huko mjini naongea mwenyewe barabarani mjue sababu iliyonisababisha ni hii.

Kwa hali hiyo, sitongozi tena; watoto waliopo wananitosha.​
 
Nkutaftie majibu ya sperm analysis jumatatu uonekane hauwezi kutungisha mimba
Jumanne unaenda kuwawashia moto waseme hizo mimba wamepewa na nani
Wakishindwa kumtaja mwingine wamejipa talaka
Wanasema, ulivyokuwa unafurahia kuzimwaga ufurahie hivyo hivyo na kwenye kulea 😀😀
 
Kulea ni sunna, malipo ya reaching high level of excitement sexually ndio hayo mkuu so tufurahie tu matunda yetu.😄 Mimba mbili si zakuchanganya kama unashuguri au kazi inayokuingizia kipato. Ila jua kuna technic si yakukuumiza sana ya kulea mwanamke anayedai anaujauzito wako😊
 
Ebu nipe hiyo technic; kwa sababu mpaka sasa hivi timu ya mpira imekamilika
 
Watoto ni baraka.
Ni baraka ila kwa hii timu ya mpira, lazima nikongoroke, ebu soma hii..
 
Familia zenyewe tunaishi chini ya Dola Moja na elimu bure wala hukongoroki...weka vitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…