Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,901
Dakika 20 zilizopita, nimepokea simu kutoka kwa pisi kali moja matata iliyokuwa inanizungua huko nyuma kwenye ule uzi 'nimeutua mzigo mzito', ananiambia amefanya leo vipimo ana ujauzito wangu, wa mwezi mmoja.
Baada ya kupata taarifa hiyo, nikajua kinachofuata hapa ni kujiandaa kwa malezi, kibaya zaidi kuna mchepuko mwingine ana ujauzito wangu wa miezi mitatu; na wote wameamua kulea mpaka kuja kujifungua.
Binafsi, nipo njia panda, najua hapa majukumu yanaongezeka; kwa hiyo mkiniona huko mjini naongea mwenyewe barabarani mjue sababu iliyonisababisha ni hii.
Kwa hali hiyo, sitongozi tena; watoto waliopo wananitosha.