Sitokaa nikonde mie

KUMBE HATA KUPIKA HUJUI PILAU LIMEGANDAMANA WE NDOA UTAISIKIA TU KWA WENGINE
 
KUMBE HATA KUPIKA HUJUI PILAU LIMEGANDAMANA WE NDOA UTAISIKIA TU KWA WENGINE
hv unadhani kufungua id mpya na kurudi kutukana watu ndo hujulikani eeh? kweli jf ina watu ambao hata huwezi kuwazanishia..mbona una chuki sana na watu humu? kwanini usiangalie maisha yako na family yako? kama nimeolewa au sijawai kuolewa wewe unajuaje?
napika sana ndo hobby yangu . napambana na maisha yangu wewe endelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…