Sitojisumbua kutongoza tena.

Wakuu nimewaelewa kuanzia leo sidindi tenaaa
Hadi nipate pesa mingi.
 
Mkuu pole sana cha muhimu Tafuta Pesaa toka kwenu nenda kapange ujitegemee uwe na Geto lako utawapata weng utakuwa unachagua tu
 
Mkuu ajira bado sijapata
Na father bado haja afiki swala la kunipa mtaji.
Mwanamke mwelewa anataka mwanaume anayejitegemea na kujisimamia mwenyewe kwenye maamuzi;pambana fedha utapata.
 
Mkuu pole sana cha muhimu Tafuta Pesaa toka kwenu nenda kapange ujitegemee uwe na Geto lako utawapata weng utakuwa unachagua tu
Wasema kwel mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…