Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Habari zenu wa jf
Sio vibaya tukihadithiana habari na mikasa tunayokutana nayo katika maisha,
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2011 mwezi July,nimetoka zangu likizo huko home,basi siku ya pili asubuhi ilibidi niende ofisini kuripoti kama nimesharudi,
Basi gari yangu ilikuwa imekwisha bima ikabidi nisubiri taxi pembeni ya barabara,
Kabla sijapata taxi ilikuja gari Land cruiser Lexus,naikumbuka mpaka namba yake,ni rangi nyekundu,
Kulikuwa na mzee mtu mzima kabisa wastani miaka 50 kwenda juu,
Alisimama pembeni ya njia nikamsalimia,akaniuliza unakwenda wapi? Nikamtajia sehem nayokwenda,basi kwa ustaarabu akaniambia panda nitakushusha hapo,basi nikapanda sikuwa na wasiwasi kabisa kwa sababu mtu Yule nikimtazama ni sawa na Baba yangu,
Njiani akaniuliza umeowa wewe!? Nikamwambia laa bado,akaniuliza unatumia ulevi gani? Nikamjibu situmii kabisa,akajitambulisha kama yeye anafanya kazi sehem nyeti sana serikalini,naomba muelewe hii habari sio ya Tanzania ni nchi flani sitaitaja jina,
Basi wakati tunakwenda mara akakata kona upande ambao sikuwa nakwenda kule,nikamwambia vp huko mimi nakokwenda akanijibu usiwe na shaka Nyumba yangu iko jirani na hapa kuna mizigo wacha nishushe ntakufikisha,
Ok tukafika Nyumba flani nzuri sana akapiga rivasi mara akatoka mfanyakazi wa kiume muhindi akaja kufungua akawa anashusha mizigo,Yule mzee akashuka akaniambia nakuja,sikuwa na shaka kabisa,mara muda Yule mfanyakazi akaja kuniambia mzee anakuita japo unywe maji,kwakweli mazingira ya nchi yalivyo sikuwa na wasiwasi,kwa sababu toka nimeishi hiyo nchi sijawahi kusikia majambazi wamevamia,au mtu kakabwa au kauliwa yaani ni peace country,
Nikashuka nilipoingia ndani nikamkuta mzee kakaa pale sitting,akanikaribisha akaniambia kunywa maji au juice tusubiri huyo anaeshusha mizigo amalize nikupeleke,
Nilipoanza kustuka nyumba kubwa ka ile hapakuwa na watu ni yeye na mfanyakazi tu,
Hapo ndio zee likafunguka,likaniambia lenyewe ni punga,na linataka niligegede hapo na ndio kazi yake linaniambia,linalipa kabisa pesa nzuri vijana,nilikuta aina ya vilevi kibao,yaani kama bar vile,pale niliishiwa nguvu kabisa,demu tu sijawahi kula 0713 iwe zee kama lile?
Basi lile zee likawa limesimama limevua nguo zote,halafu limetoa pesa kwa chenji ya kwetu kama laki 8 basi likaja mbele yangu linaniambia niingize dushelele,mimi hapo natetemeka hata dushelele imepigwa ganzi hata haijashtuka,
Nikaona hapa nikilemaa ntalitafuna hili zee lije kunitia nuksi tu,
Nikaliambia sikiliza mzee mimi mwenyewe hii ndio kazi yangu sema umenistukiza tu,sasa naomba kwanza tukaoge halafu ntakuja kukupa unavyotaka,likakubali pale kulikuwa na bafu moja,likanielekeza basi wewe oga hapa mimi nakwenda bafu ya ndani nikasema poa,
Nilipoingia bafuni sijafunga mlango nikakaa kama dk 3 nikafungua mlango taratibu wa bafuni,bahati wa mbele pia haukuwa umefungwa nikafungua pia nikakata mtaa wa kwanza wa pili nikapata taxi,
Mpaka Leo huwa najiuliza kuna watu wangapi dizaini ya huyu mzee? Kweli ushoga ni tatizo la dunia,ni tabia mbaya na chafu kabisa