Mara kuna watu walikuwa wamesimama mara wote walikuwa wamekaa! Hii story yako pitia utunge upya!
Pole sana Aunt Tofali, kweli we ni mvumilivu duu mwingine angepiga mayowe ya kufa mtu. Vp hukujihisi msisimko hata kidogo?
Kweli nimepanda uvumilivu wako, unaweza kuvumilia hata kwenye ndoa. Plz kama hujaolewa nipm lkn km tiyari hongera.
Ndo najifua hapa ,si mtaani fresh tu? Hatuitaji audience, ukipigwa unakausha kimya kimya unasepa.ohh kwa hiyo swala ni dau tu, mi sihitaji hata kuweka dau, ukinipiga pia nitakulipa nikikupiga sitahitaji unipe chochote kwa vile nina uhakika nitakupa kichapo tu.
mkuu lini sasa? na wapi?
Nimeipeda hii bidada. Unajua katika maisha jifunze kutokuwa na uwezo wa kubadili hii duni. Tusi si tusi mpaka mtusiwa alione ni tusi. Mtu akikuita mjinga na wewe si mjinga haiwezi kukuuma. Mfano kuna kitu watu wanaita tusi lakini mimi huwa silioni tusi bali ukweli. Tusi lenyewe ni mtu anakutusi ifuatavyo: K*U*M*A mayo. Ukichunguza ukweli ni kuwa hili si tusi maana Binadamu anazaliwa na mwanamke anayeitwa mama. Na ili mimba yako itungwe lazima mama awe nayo na wote tumetokea huko. Huoni kuwa hilo si tusi tena.Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.
Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?
Ndo najifua hapa ,si mtaani fresh tu? Hatuitaji audience, ukipigwa unakausha kimya kimya unasepa.
I can imagine how you felt kuna siku nilipanda daladaa nikiwa nimevaa gauni refu, nilikuja kushtuka nieshikwa kiuno na mtu hana wasiwasi nilimtoa kwa nguvu, niliudhiaka sana. public transport zina mambo.
Kwa sisi watalam wa saikolojia tunaamini kwamba huyo jamaa hata kama ni mwehu,kuna triggering factors za kimuonekano kutoka kwako.... inaonekana ni kwamba unavutia kimaumbile ,macho,kisura au hata unavyoongea....na huyo jamaa kwa hali yake amekata tamaa ya kumpata mwanamke wa dizaini yako.....ningefanikiwa kukutia machoni ningetoa conclusion ya uhakika...ila pole na hongera .....