Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Wakuu sito isahau paper ya advanced mathematics 2013,
Naelewa kuna waliopata A, but ni wangapi? Hebu naomba uchunguze matokeo ya shule zote kwa macho yako, uniambie A zlikua ngapi kitaifaPhysics ulipata ngapi ambapo hakuna A au B hata moja iliyopatikana kitaifa.
Hiyo Mathe raia ziligonga digit(A), wewe ulikwama wapi?
Naomba nitembezee swali la kwanza (b)Hayo maswali mbona yanatembea mkuu
Hayo maswali yanatembea lkn sio kizembe zembe na hili paper walimu wengi wanalitumia kupima wanafunzi waoHayo maswali mbona yanatembea mkuu
For what?Naomba nitembezee swali la kwanza (b)
Hahahaaaaaaaa, naomba uchungulie matokeo kwenye uzi wa piliDah hilo paper naskia one tz nzima zilkua 321 iv kama sikosei.
Uzi umeandikwa dondosha paperUzi wa pili upi?
Physics naskia no B that yearPhysics ulipata ngapi ambapo hakuna A au B hata moja iliyopatikana kitaifa.
Hiyo Mathe raia ziligonga digit(A), wewe ulikwama wapi?
Ilikuwa C pekee tena za kuhesabika, TO alitoka Ilboru akiwa na A ya Chemia na Mathe ila C ya PhysicsPhysics naskia no B that year
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]hilo pepa linaleta chakula mtaani.. maana zama hizi kina diamond wanachaji milioni 100 kwa shows za masaa mawili uku wao wanasema tu mikono juu mikono juu