Naona bora niitafute akhera yangu badala ya kuitafuta dunia zaidi.
Nikiwa mbunge nitakosa muda wa kumtumikia muumba wangu badala yake nitamikia chama changu.
Mtume (s.a.w) amesema:
2. Akasema tena:
3. Abdullah ibn Umar (r.a) amesema:
Nikiwa mbunge nitakosa muda wa kumtumikia muumba wangu badala yake nitamikia chama changu.
Mtume (s.a.w) amesema:
(Sahih Muslim)"Dunia ni gereza kwa Muumini na pepo kwa kafiri."
2. Akasema tena:
(Tirmidhi, Ahmad)"Kuishi kwangu katika dunia ni kama msafiri aliyepumzika chini ya mti kisha akaondoka na kumuacha."
3. Abdullah ibn Umar (r.a) amesema:
(Sahih Bukhari)Mtume (s.a.w) alinichukua mabegani na kusema: "Ishi katika dunia kama mgeni au mpitaji."