Sitochepuka tena

Sitochepuka tena

Nimekaa na kufikiri mke ninaye mzuri tu anajitumabkila idara ila tu sijui kwanini nachepuka na kote nilikochepuka sijaona utamu zaidi yabule niupatao ssa labda nyie wachepukaji wenzangu huwa mnafuata nini kwa michepuko
Tuanze na Wewe, hua ukichepuka unatafuta nini?? I mean kabla hujaamua kuacha kama ulivyodai!!
 
Kwa jinsi ulivyomsifia shemeji hukuwa na haja ya kuchepuka. Wenzako wameoa wanawake KERO ukifika nyumbani unatakiwa kujibu maswali kadhaa: leo ulikuwa wapi, mbona hukupokea simu yangu, mshahara wako unapokea lini. Ukiachana na hayo wengine wachafu chumbani na jikoni hutamani kulala kitandani, hutamani kukaa mezani kula chakula. Ukiachana na hilo wengine eti wanabadilisha mboga sasa sijui kuna K yenye vitunguu swaumu nyingine ina samaki, nyingine kuku wa kyenyeji ...mi sijui.
 
Nimeoa nina watoto watatu na mke wangu kwa kweli ni mzuri na anajitahidi sna kunihudumia kila kitu ila nachepuka mpaka naona aibu ya nafsi na hata nikiulizwa kwanini nachepuka SIJUI kabisa
. Sasa nataka nipunguze kidogo au niache kabisav
 
Nimeoa nina watoto watatu na mke wangu kwa kweli ni mzuri na anajitahidi sna kunihudumia kila kitu ila nachepuka mpaka naona aibu ya nafsi na hata nikiulizwa kwanini nachepuka SIJUI kabisa
. Sasa nataka nipunguze kidogo au niache kabisav
Posts zako bana; najuta kuoa, onhoo mke wa mtu kaniomba nikutane, ohoo mke wa ukubwani na wa utotoni yupi bora....etc!
Kesho utajisahau na kuandika mke wangu mbaya kama gunia la mkaa..

Any way nimekupa like kwa usanii na kijaza saver ya JF
 
"huwezi acha, hadi siku utapoingia anga za watu, unaweza liwa kiboga, ukionewa huruma mara baada ya tendo utaanza kukojoa dagaa na hapo ndipo utaukumbuka msemo wa " maumivu yakizidi muone daktari"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom